Mpenzi wangu wa zamani ananipa mawazo

Mpenzi wangu wa zamani ananipa mawazo

Status
Not open for further replies.
Hello waungwana,niite Queen yes nimeolewa with two kids,Sasa bwana nina mpenzi wangu wa zamani kiufupi ni kwamba wote tunatakana tu hatukuwasiliana kama miaka saba hivi juz kati tumeanza mawasiliano tutakutana tutakiss kwenye gari ,nae ameoa na watoto wawili Sasa namuona kama vile hataki kuendelea kuwasiliana na mie ndo namtaka balaa ,nifanyeje?
SASA KAMA UNAMTAKA UNAOMBA USHAURI WAKUCHEPUKA AU KUTAARIFU UMMA KUWA UKO TAYARI KUCHEPUKA HATA KAMA UMEOLEWA, AU NI UBOBEVU WA KUCHEPUKA NA KUWA HATA MABAHARIA HUMU WANAWEZA KUJA KUOMBA NASAHA KWAKO NA FARAGHA??? DADA TULIA NA NDOA YAKO ACHA KUTANGA TANGA NA FIMBO YA MIWA.
 
Eti umeolewa......hamna mwanaume mpuuzi wa kuoa malaya miaka hii.
tapatalk_1564308252811.jpeg
 
inashangaza, kwa upumbavu na umalaya wake bado kuna wanawake mnamchekea, anawazalilisha sana. . sisi ma comrade tuna generalize tunawaweka kwenye chungu kimoja.
Kwani shida iko wapi? Sasa ninyi mkitugeneralize inatuongezea nini au inatupunguzia nini sisi? Kwani wanaume hamchepuki? Sasa mbona mnahukumu wenzenu na kujiona ninyi watakatifu?
 
Kwani shida iko wapi? Sasa ninyi mkitugeneralize inatuongezea nini au inatupunguzia nini sisi? Kwani wanaume hamchepuki? Sasa mbona mnahukumu wenzenu na kujiona ninyi watakatifu?
ok mtoa mada yupo sawa kabisa, anachofanya ni kitu kizuri kabisa
 
Nmegundua wanaume tunachukiwa kuchapiwa sanaaa.

Ila wakuu, ukiona unachapiwa, ujuwe nawewe unachapa mahali
 
Siyo kitu kizuri, ila wanaume hamkupasa kumrushia mawe kabisa hapa au laiti kama mngekuwa mnawarushia mawe na wanaume wenzenu wanaoanzisha nyuzi kama hizi basi tungesema kweli hampendi haya mambo ila mnavyowaunga mkono wanaume wenzenu na kuwarushia mawe wanawake huwa tunawaona wanafiki tu.
ok mtoa mada yupo sawa kabisa, anachofanya ni kitu kizuri kabisa
 
Ndiyo nashangaa wanaume inapokuja kwenye swala la mapenzi wanajifanya hawaujui ule msemo wa mla vya watu na vyake huliwa yaani wao wanataka kula vya watu ila vyao hawataki viliwe basi wahame sayari ila kwenye sayari hii ya dunia ni mwendo wa karma tu watake wasitake
Nmegundua wanaume tunachukiwa kuchapiwa sanaaa.

Ila wakuu, ukiona unachapiwa, ujuwe nawewe unachapa mahali
 
Ndiyo nashangaa wanaume inapokuja kwenye swala la mapenzi wanajifanya hawaujui ule msemo wa mla vya watu na vyake huliwa yaani wao wanataka kula vya watu ila vyao hawataki viliwe basi wahame sayari ila kwenye sayari hii ya dunia ni mwendo wa karma tu watake wasitake
Huo ndo ukweli.. Ili mradi unakula wa wenzako ,ili mradi unasaliti mkeo kwa kabinti fulani.

Vivo ivo naye itakua ivo.
 
Labda anashindwa kukuambia ana magonjwa na hataki kukuambukiza.. hiyo hamu kajiachie kwa mme wako.
 
Stupidity,anaheshimu ndoa yake kajistukia Soma alama za nyakati acha ujinga kichwani,alafu unaomba ushauri nenda Facebook huko kaombe wanawake wengine was ajabu Sana [emoji26][emoji26]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom