Mpenzi wangu sio rafiki

Mpenzi wangu sio rafiki

Watu wana bahati sasa hapo kosa lake nini tena huyo ningemuonea hadi namuonea huruma huyu wa kwangu nimemtoa bikira tu ila ana fujo hadi anakera
 
Hapo kwenye kuwa nasty n romantic sasa ni moja ya tatizo ambalo nimekumbana nalo mkuu, sio mtu wa vitu hivo kabisa
Aisee kama hapo chenga dah, nshakuwa na mpenzi very intelligent, mchangamfu,muongeaji very focused na life na mwenye ndoto sana ila hapo akawa anafeli...

Nilivumilia ila dah situation hio dogo ajiongezi yani unamsema wee after 2 days mmerudi kulekule, hawezi hata kukujulia hali kimahaba..No mornings no umekula no bby beibes.

Sex napo alikuwa na low drive, gogo type na mvivu kimoko kashatepeta ataki tena ati anaumia. Mwishowe ilibidi nibwage though nilimpenda sana, hakuwa malaya na tunaheshimiana.

Namuonea imani huyo wako maana kama hayawezi na kule basi hapo chances za kuendelea nae ni a single ounce.
 
Watu wana bahati sasa hapo kosa lake nini tena huyo ningemuonea hadi namuonea huruma huyu wa kwangu nimemtoa bikira tu ila ana fujo hadi anakera

Heheh hivi hizo fujo huwa zinatokana na nini au ni haiba ya mtu tu mkuu???
 
Aisee kama hapo chenga dah, nshakuwa na mpenzi very intelligent, mchangamfu,muongeaji very focused na life na mwenye ndoto sana ila hapo akawa anafeli...

Nilivumilia ila dah situation hio dogo ajiongezi yani unamsema wee after 2 days mmerudi kulekule, hawezi hata kukujulia hali kimahaba..No mornings no umekula no bby beibes.

Sex napo alikuwa na low drive, gogo type na mvivu kimoko kashatepeta ataki tena ati anaumia. Mwishowe ilibidi nibwage though nilimpenda sana, hakuwa malaya na tunaheshimiana.

Namuonea imani huyo wako maana kama hayawezi na kule basi hapo chances za kuendelea nae ni a single ounce.

Mkuu kwa hayo maelezo yako ni same same issues ninayokumbana nayo kwangu, wamefanana kwa kila kitu mkuu, ni changamoto kwakweli
 
Daaaah hivi unataka kuniambia hii kitu ni common mkuu???, na sababu zake ni nini? Vipi ni njia gani ulizotumia kumuweka sawa??

Sio common, kuwa mpole ni tabia ya mtu na ili kumfungua inabidi uwe creative.. Ilinichukua miezi 6 hadi kuja kumuelewa, alipewa malezi ya kupendwa sana kwao. Nikajua huyu ngoja nimpende na kumjali kama mtoto mdogo, nilimpa special caring and mapenzi yale ya dhati mwisho wa siku akawa normal..
 
Back
Top Bottom