Shoshmita
Member
- Feb 12, 2017
- 71
- 38
Mmmh kumbe hivi ndivyo tunavyofikiriwa watu tusio waongeajiKutokujua vitu na kukosa kujiamini kunachangia watu wasiwe wazungumzaji wakihofia kutoa boko na kuonekana kituko mbele za watu.
Mmmh kumbe hivi ndivyo tunavyofikiriwa watu tusio waongeajiKutokujua vitu na kukosa kujiamini kunachangia watu wasiwe wazungumzaji wakihofia kutoa boko na kuonekana kituko mbele za watu.
Mmmh pengene unaongea sana, yani humpi nafasi na yeye ya kuzungumza, coz hata mimi nikikaa na mtu anaongea kama chiriku huwa nanyamaza tu namuangalia.Habari wanajamvi , kama kichwa cha uzi wangu kinavyosema , mimi ni kijana mvulana ambae nipo kwenye mahusiano na msichana wangu takribani miaka miwili sasa, kiukweli huyu msichana she is beautifull and very nice to me na ni mwaminifu kwangu lakini, kiukweli nampenda na ananipenda sana.
Shida ni moja toka naanza mahusiano nae mpenzi wangu huyu anatabia ya upole iliyopitiliza tofauti na mimi mwenyewe , mimi ni mtu mmoja mzungumzaji sana na ninayependa talks, na nikitu ambacho hata yeye anaenjoy kwangu coz namfanya kila mda anafurahi , mwanzo nilijitahidi kumchangamsha ili niende nae sawa lakini ilikuwa ngumu kubadilika.
Kiukweli naboreka sana na huu uhusiano though nampenda, my gf sio mtu ambae anaweza kuona nipo offmood kisha akanifanya nifurahi , she is not friendly yani kiukweli anabore ukiacha maswala ya mahusiano hakuna mambo mengine ya kijamii anaweza akazungumza nikafurahi, tukiwa wawili mi ndo the only person ambae nazungumza yeye ni mpenzi mtazamaji, unaweza ukakuta njia nzima nazungumza mimi au tukiwa chumbani usishangae kashika tama ananiangalia huku anatabasamu tu.
Sasa naamini kwenye mahusiano ili mpate kudumu ni lazima muwe na urafiki (watu ambao mna kitu zaidi ya mapenzi) sasa huyu mwenzangu ni msomi lakini anaonekana amekosa communication skills n social interaction na kiukweli nishazungumza nae sana ili nimbadilishe lakini jibu lake ni moja kuwa hivo ndivo alivyozaliwa na malezi ya utotoni ndio yamemfanya awe hivo plus na shughuli zake anazofanya zinamfanya akose social interaction
Sasa kiukweli mimi ndugu zangu nahisi kuchoka na hii hali coz imefikia kipindi nakuwa bored sana yani sometimes hata akipiga simu najisikia uvivu kupokea yani kama somo nimeshaelekeza lakini mwenzangu ndo imeshindikana kubadilika , imefikia kipindi natumia mda wangu mwingi na washkaji zangu na rafiki zangu wengine wakike na naenjoy zaidi kuliko nikikaa na mpenzi wangu , naombeni ushauri wenu wakuu kipi cha kufanya hapa ili nijenge kuliko kubomoa coz napata wazo la kumuacha ila nashindwa coz kiukweli nampenda and she is so loyal to me sema ndo vile no enjoyment kabisa kwenye uhusiano.
View attachment 585321
Were niache buana. Umbra sunna bana..he he he he he pole kwa banKwa umbeya sasa khaaa, ebu mumuache huyo chiriku wa watu
Upo wewe. Yaani upo sana
Eeeeh ndiwo...Hehehe eti 'aliongea yeye sana' kwahiyo na wewe ukawa mpenzi msikilizaji??
hahaha mkuu nilikuwa nina jibu kama lako,nimekosa cha kuandika. Hahaha ama kweli penye miti hapana wajenziDaah hiyo fursa nilikuwa naitafuta siku nyingi embu nipe namba yake kwa maana na mimi nina tabia kama yake, nadhani tutaendana nae au vipi
Sawa kama utapenda niwepo ila nitayarishie pamba za kuweka masikioni[emoji38]Upo wewe. Yaani upo sana
Daah yaani damu yako baridi kama maji ya mtungi au ni gia ya kukwepa kero za PM [emoji12] [emoji12]
Ukiona hajawahi hata kujamba mbele yako..hilo ni tatizo ndugu yangu,anakuficha mengi
Bibie hebu tufafanulie japo inshort tu maana umetuacha segera nowKama huamini zaa mtoto wako wakiume halafu mwachie kitovu kiangukie utaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kujamba ni popote pale,haimaanishi ukiwa na mpnz wako usijambe na hivi muwe pamoja ndani ya miaka miwili isitokee hata siku moja kashikwa na kijambo kweli??
Asalaaalee. Kwa nini sasa na wewe ajambe kwa makusudi mbele yake?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] kizaazaa hicho sio kidogo..wataka utulengeshe kulumbana kwa huyo ex chiriku wako atiii??Yaani ni three of us,me,you and salthanks
He wasn't my boy friend buana.[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] kizaazaa hicho sio kidogo..wataka utulengeshe kulumbana kwa huyo ex chiriku wako atiii??
Sent using Jamii Forums mobile app