salthanks
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 3,284
- 6,862
Bahati kashtuka mapemaaHuyu mwenzetu na huyo mcharuko wake ni kama sinema vile![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati kashtuka mapemaaHuyu mwenzetu na huyo mcharuko wake ni kama sinema vile![]()
Wajua wengi wanajidanganya kuwa kujisifia sana kwa mwanamke ndo kumhadaa na kumvuta..na wengi wa aina hiyo wamezoea kuwachezea tu na kuwabwagaWasn't a relationship I can say,kwa sababu tuliongea hivo...I mean aliongea yeye sana![]()
![]()
![]()
alivoniuliza if we can make it,I said NO.
Hakuna mkamilifuTatizo wapo wanaojiaminisha kupata mpenzi ambae yuko perfect 100% bila ya kasoro yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa lakini utakuwa hujamtendea haki huyo bibie maana kama anakupenda kwa dhati basi utamdhulumu tu kwa kumtema kisa ni tabia yake ambayo ni maumbile aliyoumbiwa na as far as haina nguvu ya kuvunja mahusianoHeheh mkuu, nikisema nitampata i mean naweza kuchukua mda kukaa chini kumake it kwa makini ili nipate wa kuendana nae
Wajua wengi wanajidanganya kuwa kujisifia sana kwa mwanamke ndo kumhadaa na kumvuta..na wengi wa aina hiyo wamezoea kuwachezea tu na kuwabwaga
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaa haaaa...huwezi amini hiyo njemba nishaijua MaseNo,sio kutest zari. You just imagine all the time anakupigia simu anataka muongee. Ukipokea anaongea yeye tu. Me I'm doing this and this,this is this and this. Bla blah kibao. Too much pilipili,I decide not to ate that food![]()
![]()
I use to observe anyone since day one
Mie simoNitaomba atoe kichambo kwa 3 of us,sio peke angu.
![]()
![]()
![]()
![]()
I'm going to sleep now
Sawa lakini utakuwa hujamtendea haki huyo bibie maana kama anakupenda kwa dhati basi utamdhulumu tu kwa kumtema kisa ni tabia yake ambayo ni maumbile aliyoumbiwa na as far as haina nguvu ya kuvunja mahusiano
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na wewe umekoswakoswa na huyo wino wa speedo..sasa umejuaje kama ndo huyo kichefchef wa mase?..au mtongozaji hapa jf ni huyo tu?Haaaa haaaa...huwezi amini hiyo njemba nishaijua Mase![]()
![]()
Tongoza tongoza hiyo![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa anaongea ka kameza betri la nation...Kumbe na wewe umekoswakoswa na huyo wino wa speedo..sasa umejuaje kama ndo huyo kichefchef wa mase?..au mtongozaji hapa jf ni huyo tu?![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaa haaaa...huwezi amini hiyo njemba nishaijua Mase![]()
![]()
Tongoza tongoza hiyo![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Mla Bata nimependa uandishi wako tuu..mengine ni
Upambane na hali yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa anaongea ka kameza betri la nation...
Naamini ni huyo huyo anapenda sana kujisifia, akipiga simu aongee yy tu afuu mda mrefu sasa, ewwww!
Sent using Jamii Forums mobile app



Ofcourse that's my point..hapo tatizo ni wewe mwenyewe tu..why ukose furaha kisa ukimya wake?...kwani ukimuongelesha hakujibu?..maadam ni muaminifu kwako na hakukosei kwa kukusudia basi huna budi kumvumilia..jipe moyo na uamini kuwa utafika wakati ataathirika na tabia zako then utayaona mabadiliko taratibu..it will take time but naamini halishindikani hilo..namuunga mkono yule mdau mwenzetu humu aliyekushauri kumuoaKwahiyo bora uwe mtumwa wa kukosa furaha ya moyo kisa kumuonea huruma na kumridhisha mwingine mkuu, that your point right????
Bahati yenu mwajielewaHuyo jamaa anaongea ka kameza betri la nation...
Naamini ni huyo huyo anapenda sana kujisifia, akipiga simu aongee yy tu afuu mda mrefu sasa, ewwww!
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimuache huyo Dada mkuu...Daaaah kwahiyo wewe wity ndo huna cha kunishauri zaidi ya mimi kupambana na hali yangu jamani.