Mpenzi wangu sio rafiki

Mpenzi wangu sio rafiki

Usimuache huyo Dada mkuu...

Mwanamke nae akiwa mwongeaji ana kera sana asee bora mkimya!

Tena kipindi hiki cha awamu hii kilivyo so tough mi ningekuwa mwanaume ningehitaji mwanamke mkimya coz sitaki kuongezewa stress za maneno, nahitaji mda mwingi kutafakari!

PS:
Binafsi sipendi mwanaume mwongeaji, atanikata stimu mapemaaa kama alivyosema Maserati...narudia usimuache huyo Dada!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lake twamshauri but anakazania kupinga tu..zama hizi kupata mwanamke mwaminifu ni bahati na yeye anataka kuichezea bahati

Majuto ni mjukuu

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
Doris naona umeguna tu
Toa mawili matatu tujuze uoni wako kwa hii team MUONGEAJI Vs MKIMYA

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
Sina chakuongea nashangaa nyie wanaume mnataka nini yaani hamueleweki mnataka nini mwanamke anakupenda sio mhuni katulia upole wake ndio umuache angekuwa muongeaji kama sisi ooooh anaongea sana sijui mpewe donda ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina chakuongea nashangaa nyie wanaume mnataka nini yaani hamueleweki mnataka nini mwanamke anakupenda sio mhuni katulia upole wake ndio umuache angekuwa muongeaji kama sisi ooooh anaongea sana sijui mpewe donda ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa huo uchochezi...tushakuwa wala bata?..binafsi sipendi mwanamke firimbi

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
Ofcourse that's my point..hapo tatizo ni wewe mwenyewe tu..why ukose furaha kisa ukimya wake?...kwani ukimuongelesha hakujibu?..maadam ni muaminifu kwako na hakukosei kwa kukusudia basi huna budi kumvumilia..jipe moyo na uamini kuwa utafika wakati ataathirika na tabia zako then utayaona mabadiliko taratibu..it will take time but naamini halishindikani hilo..namuunga mkono yule mdau mwenzetu humu aliyekushauri kumuoa

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app

Words taken mkuu. I appreciate.
 
Usimuache huyo Dada mkuu...

Mwanamke nae akiwa mwongeaji ana kera sana asee bora mkimya!

Tena kipindi hiki cha awamu hii kilivyo so tough mi ningekuwa mwanaume ningehitaji mwanamke mkimya coz sitaki kuongezewa stress za maneno, nahitaji mda mwingi kutafakari!

PS:
Binafsi sipendi mwanaume mwongeaji, atanikata stimu mapemaaa kama alivyosema Maserati...narudia usimuache huyo Dada!

Sent using Jamii Forums mobile app

Nashukuru kwa ushauri wako mzuri mkuu, nimejifunza kitu
 
Back
Top Bottom