Mpenzi wangu sio rafiki

Mpenzi wangu sio rafiki

unabahati kupata mwanamke kama huyo,jitahidi mpende sana Duniani hakuna mkamilifu kwa mtazamo wangu namuona kama mwanamke makini,Mtulivu na msikivu kwa sababu anapenda kukusikiliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila sio siri mi naona mwanamke kuwa mpole is sexy, kuliko wale waongeaji wenye mashoga kila kona kutwa umbea tu kwenye social networks au nyumbani.

Given that mwanamke ananiskiliza na kuniheshimu, yupo loyal sio malaya,yupo romantic and she is getting nasty with me whenever i want her...i will care less of the other traits.

Unachosema ni kweli, wapole wengi ni loyal sana na warembo kwelikweli..
 
Mla Bata hayo machungu hata mimi yalinikuta. Unaweza ukaongea weee yeye anakutolea mimacho tuu.. Au unamchekesha anaishia kuonesha meno..

Ila kwasasa naenda nae sawa!!

Daaaah hivi unataka kuniambia hii kitu ni common mkuu???, na sababu zake ni nini? Vipi ni njia gani ulizotumia kumuweka sawa??
 
Ila sio siri mi naona mwanamke kuwa mpole is sexy, kuliko wale waongeaji wenye mashoga kila kona kutwa umbea tu kwenye social networks au nyumbani.

Given that mwanamke ananiskiliza na kuniheshimu, yupo loyal sio malaya,yupo romantic and she is getting nasty with me whenever i want her...i will care less of the other traits.

Hapo kwenye kuwa nasty n romantic sasa ni moja ya tatizo ambalo nimekumbana nalo mkuu, sio mtu wa vitu hivo kabisa
 
Mla bata naomba kujua umempata wapi uyo dada maana na mim namtafuta san mpenz mpole mweny sifa kam huyo unaemchoka ndgu yngu.

Ushaur wngu, huyo ni almasi mchangan ndgu usikubali mpoteza, si ajabu ata ulimkuta bkira, ukimuacha utakuw ujamsaidi wala kupata solution yako mkuu. Wew mpende tu kw manufaa yenu wote kaka

Absolute YES mkuu, nimemkuta hajui hayo mambo, nashukuru kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom