'kwann G Sam?!.
'
Emb imagine unakililia kitoto kimahaba....kiakupindua kitakavyo unaking'atia vidole kwa aibu kinakugombeza ukikosea unatembea nacho mitoko dah! don do that bana..kwa girls haijakaa powa kabisa bana!
Yupo dada mmoja kasema yeye yupo na kitoto kinamgegedaMbona sikupati mkuu unamaanisha nin?
huyo ni mwanaume au mtoto?
yap.. umeogopaee...kinachoniongoza ni kufikiri,,maombi na hekima ya hali ya juu ili nisijekuwa kwenye right position but wrong direction hata siku moja.kwahiyo ulimuoa ukiwa na miaka 25 yeye yeye 28?
Hahaaa mimi na miaka 24.5 lakini napenda madada wa kianzia miaka 27_30 kwa hyo umri siyo kigezo we kula maneno.
Mbona yule Mbunge mzee wa miaka 50's alikubali kuolewa na kijana wa miaka 26 kwa sababu tu kijana kamng'ang'ania? Hata nawe mng'ang'anie atakubali tu...!Ndugu wana jf mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 na nina mpenz wangu ambae tunapendana sana kwa dhati kutoka moyon kabisa ila shida ni kuwa yeye ni mkubwa kwangu kiumri lakin yeye halijui hilo maana nilimdanganya umri wangu kuwa tuko sawa na had sasa anaamin na mpango tulionao baadae ni kuish kama mume na mke na kila mmoja analijua hilo, sasa naomben mawazo yenu kama hiki kitu kinawezekana kweli maana kwa utaratibu unaojulikana ni kuwa mume lazima amzid umri mke!
Usimu-undeestimate mtume mwamedi kwenye Mahusiano, ndio maana baada ya kudunduwa kosa la kuoa Marioo akachukuwa kibinti cha miaka 6 na kuanza kukipiga pipe kilivyofikisha miaka 9 tu
Una miaka 37 hujaolewa na una mpenzi ana miaka 10!!
This is totally completely mental case.endelea kujifariji tu.
Kamwe hutokuwa mke wa huyo kijana anayeonekana yupo na wewe kwa sababu amepigika na wewe unamsaidia vipoketi money, akiweza kusimama kwa miguu yake na kuamuwa kuoa ataingia sokoni na kuchukuwa msichana wa miaka 24 mpaka 29.
Pole sana kama una umri huo na hujitambui, mume wa kukuoa ni divorce man au aliyefiwa na mke na hapungui umri wa miaka 50. wake up now.
Laanatu Allah aleyk wewe Matola, wewe umelaanika sana na laana haikuachi!
kahtaaan, Ritz, Ngongoseke, mfumo
Kama una miaka 21 unategemea huo ubongo wako unawaza nini zaidi ya ngono? hivi wewe unajuwa hata future ni nini? foolish age inakusumbuwa ukikuwa utayaelewa haya mambo.
Ni hivi kama wewe ni kichwa ngumu owa tu wala hamna shida, ila yeye akifikisha miaka 40 wewe utakuwa na 36 sasa hapo ndio utaanza kudet na mademu wenye miaka 25.
Only time will tell kwa sasa wewe huna tofauti na kipofu huwezi kuliona hili.
Na ukitaka kuamini maneno yangu chunguza umri wa wazazi wako kama wako hai halafu wangaalie muonekano the mwambie mama yako mzazi kwamba unataka kuoa mwanamke lakini amekuzidi miaka minne ila wewe unampenda tu kama alivyo halafu uone atakachokujibu.
Mkuu huogopi kuambiwa una wivu? vijana hawa wameweka pamba masikioni hawajui kama sisi tunatoa ushauri through experience na age tuliyonayo sasa sijui wanataka tuwe tunadisplay umri ndio wawe serious na ushauri wetu.
Kwa mfano mimi wanawake asilimia kubwa tuliomaliza pamoja o level leo hii nikikutana nao sina mzuka nao kabisa hawako tena hot lakini by that time waliturusha roho na wengine tuliambulia kula kwa macho tu, lakini kipindi kile mimi nilitamani na kuamini one of them kuna mke wa kuoa mimi kumbe fact perfect woman kwangu alikuwa bado ni mdogo na bado yuko Primary school.
Kuna rafiki yangu mwingine naye ameoa msichana na wana watoto wawili sasa hivi yule msichana mama yake mimi ndio age mate wangu sasa imagine leo hata nirealise kwamba yule mama siyo wa level ya kuolewa na mimi labda mtoto wake ndio perfect match.
Kamuulize Josephine yule Junior ni mtoto wa Dr Slaa au kagegedewa?
Una miaka 37 hujaolewa na una mpenzi ana miaka 10!!
This is totally completely mental case.endelea kujifariji tu.
Kamwe hutokuwa mke wa huyo kijana anayeonekana yupo na wewe kwa sababu amepigika na wewe unamsaidia vipoketi money, akiweza kusimama kwa miguu yake na kuamuwa kuoa ataingia sokoni na kuchukuwa msichana wa miaka 24 mpaka 29.
Pole sana kama una umri huo na hujitambui, mume wa kukuoa ni divorce man au aliyefiwa na mke na hapungui umri wa miaka 50. wake up now.
Una miaka 37 hujaolewa na una mpenzi ana miaka 10!!
This is totally completely mental case.endelea kujifariji tu.
Kamwe hutokuwa mke wa huyo kijana anayeonekana yupo na wewe kwa sababu amepigika na wewe unamsaidia vipoketi money, akiweza kusimama kwa miguu yake na kuamuwa kuoa ataingia sokoni na kuchukuwa msichana wa miaka 24 mpaka 29.
Pole sana kama una umri huo na hujitambui, mume wa kukuoa ni divorce man au aliyefiwa na mke na hapungui umri wa miaka 50. wake up now.
Naona mwanangu wamekufikisha kwenye anga zako za rusha roho!
Mtoto una mdomo michafu kuliko wale waliberali!! Duhhh!
We bado kidogo tu utaitwa mwajuma!
Teh teh teh!