Wanaletaga jeuri sana wakisha pata mwingine lakini majuto yakianza anakukumbuka dah!!mleta mada umenchekesha na kunkumbusha mbali sana nlikuwa na dem mkali mno sema mimi nlikuwa napiga nlivyoenda zangu chuo baada kama ya mwezi akanibwaga dah nlichanganyikiwa nakumbuka nilikuwa naongea bafuni mwenyewe,baada kama ya miaka 3,akanitafuta full kuniomba msamaha kikubwa alimoenda alitendwa na jamaa hakuwa anampa kama nlichokuwa nampa mimi,nikajifanya gentle nikamrudia full mahaba then akanitunuku siku hyo hakika nilimpa penzi ambalo nina hakika hakuwahi kulipata kwa siku 2 nzima baada ya hapo sku inayofata nikamwambia naenda job,kilichofata hapo ni mesage nzuri tu mimi na wewe basi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],kilichofata hapo ni kesi mpka mzee kaja home,tumeenda mpka kwenye dawati la jinsia polisi leo ukimuona amekonda kama moja mwenzie nanenepa malipi hapa hapa duniani ukiniumiza its just the matter of time nami ntakuumiza mara 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukuran mkuu, ndo maana anazidi kupendeza tu hadi nashangaa.Mkuu una hela kweli?? Kama huna hela basi mwenzako analiwa na wenye hela na anakudanganya anakulia hizo pesa zako ndogo ndogo. Piga chini fasta wala usirudi nyuma atakutesa sana.
Fanya kweli ulete nondo hizo kiongoziMwanamke havui chupi mwenyewe siku ya kwanza weka akilini, ata wa viti virefu nae havui hadi umvue nae dah.
Huruma iliniponza sana kwa mademu na kuwamini, na pia ugumu wa kutotoa pesa kwa demu dah unapata changamoto kubwa sijawahi ona, siku moja nitakuja niziandike zilizo nitokea.
Huu sasa utani wa ngumiNina 22 ila mkuu nimekuzidi maarifa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yapi maarifa hayo?.Nina 22 ila mkuu nimekuzidi maarifa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio mwanafunzi.Mapenzi ya kitoto ,ukikua utaelewa ila kwa sasa subiri kwanza siku 30 zipite urudi shule .
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasemaje hakuna tabu wakati dawa ya covid 19 haijapatikana na sirikali inaficha idadi ya waathirikaHakuna tabu mkuu.
Mwanamke havui chupi mwenyewe siku ya kwanza weka akilini, ata wa viti virefu nae havui hadi umvue nae dah.
Huruma iliniponza sana kwa mademu na kuwamini, na pia ugumu wa kutotoa pesa kwa demu dah unapata changamoto kubwa sijawahi ona, siku moja nitakuja niziandike zilizo nitokea.