Mpenzi wangu kanikataa live leo

Nilikuwa na mpenzi wangu anaitwa Anna tumekuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana cha kushangaza hatujawahi kufanya mapenzi toka tuwe kwenye mahusiano yetu.
Kosa lako liko hapo.

Kwanza sikushauri umrudie maana ushakosea tayari na ukijidai unamrudia jua utafanywa bushoke!!

Pili, Unless utapata mwanamke wa huko kwa mabeberu otherwise usirudie hili kosa ukiwa una date na mwanamke wa kiafrika.
 
Kosa lako liko hapo.

Kwanza sikushauri umrudie maana ushakosea tayari na ukijidai unamrudia jua utafanywa bushoke!!

Pili, Unless utapata mwanamke wa huko kwa mabeberu otherwise usirudie hili kosa ukiwa una date na mwanamke wa kiafrika.
Nahisi ntakuwa nimejifunza kutokana na makosa mkuu.
 
Pointi kubwa sana kwenye hii TASNIA MUJARIB
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo unapo sema hukula tunda kwanini hukutumia mbinu za kivita mkuu. Yaani mimi piga garagaza msichama yoyote ata akinichukia milele as long as namjali na simamia majukumu yangu aisee tunda ata litoa tu hata kwa nguvu yaani hahaahaha... Sema huyo msichana atakudhalau sama yaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole korona ndo tatizo huwezi kwenda outing
 
Every woman is a crazy dog except your mother..
Ukielewa hili basi kwako mapenzi yatakua rahisi Sana'a..

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sasa umejifunza kitu... Demu utaongoza siku ya kwanza.... Siku ya pili mkionana anakupa jibu lako... Siku ya tatu anaitwa getho anapigwa mikasi.... Akikataaa Kukupa mambo unamfukuza gheto unamwambia asikujue na kila unapokutana nae njiani unabadisha njia kama vile umeona gari la taka.... Akiwa na akili atakutafuta utakula kilaini sana
 
Kama ulikua unamhimiza sana sex na yy ni kitu hakutaka kufanya nje ya ndoa huenda ikawa n sababu iliyomfanya ajione inferior kwamba hakutimizii unachotaka , akaona bora muachane kuliko kuumizana, maana yy anakuumiza kwa kukunyima sex na ww unamuumiza kumuhimiza kitu kinachomtoa nje ya msimamo wake,,changamoto kama hii nilikua nakutana nayo kabla sjaolewa unakuta mtu unampenda kabisa na yy anakupenda ila unakubali kuachana nae kwasababu kama hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda umeshindwa kuchukuliana na msimamo wake akaona asikukwaze,, ni changamoto ambayo si nyepesi kuimudu,, nashauri tu usipothamin upendo anaokupenda ukataka tu sex kwake itamuumiza na kujitoa kwenye mahusioano,, mwanamke ambaye hajawah kufanya mapenzi akikwambia anakupenda mkapanga kujenga familia inatosha sana,, kuliko kukupa sex kumbe hauko pekeako,, nahisi kabisa aliona anataka kupoteza msimamo wake ndio maana akaona bora akae mbali,, naongea kitu ambacho ninauhakika nacho,, mwanamke bila msimamo utaishia kuwa starehe kwa kila MTU,, huenda ata angekubali ungekuja kumuona hana maana
Mkuu wala sina mpango wa kutoa msamaha kuhusu hili, kumbe binti ukiwa unamshobokea anakuona bonge la fala, kweli hapa nimejifunza kutokana na makosa.

Mkuu usiombe mapenzi ya udanganyifu yakukute.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…