Mpenzi wangu kanikataa live leo

Leo mchana hii nilikuwa dukani kwa jamaa yangu tunapiga story, nikamuona yule demu anaenda kuhemea vya nyumbani akaniangalia na mimi nikampiga jicho, baada ya kutoka kwenye mahemezi yake akapita ile njia ambayo nilikuwepo mimi na ambayo alikuja nayo hakurudia hiyo njia, alipita karibu yetu alifikiri labda mimi ntamshobokea nilimkaushia akawa amesepa.
Sitakagi ujinga mimi.
 
Punguza UMAMA.
BE A MAN.

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafsiri ya neno "kujali" kwa mwanamke ni HELA.
Alitengemea baada ya kukwambia humjali, basi msg atakayopata kwenye simu ingekua "JHK0156FGH Imethibitisha umepokea sh 275000 kutoka kwa ........"

Kalagabaho.
 
Mkuu usiwe mkali sana kwa huyu dogo, ni kwamba tu kuna vitu vichache hajavielewa kwenye hii game ila yuko kwenye laiti tlaki. Kuna malofa hata kuwa tu na demu wa uongo na kweli wameshindwa sembuse huyu?

Umenikumbuka kitu, nikacheka sana.
 
Tafsiri ya neno "kujali" kwa mwanamke ni HELA.
Alitengemea baada ya kukwambia humjali, basi msg atakayopata kwenye simu ingekua "JHK0156FGH Imethibitisha umepokea sh 275000 kutoka kwa ........"

Kalagabaho.
Unanichekesha mkuu Duh, kwamba
Imethibitishwa...
 
Usi mbebeleze uyo kufa kiume.. na kama ume fanya kumbembeleza basi wewe ni lofaa...
 
😎 unakwama wapi mkuu
kuachwa tu unafungua uzi kweli
kwani wameisha 😎
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…