Mpenzi wangu kaniibia kila kitu, katoroka

Mpenzi wangu kaniibia kila kitu, katoroka

Huyu alikuwa mke au kimada? Ulimuokota wapi? Hujui wazazi wake wanaishi wapi? Hujui ndugu, jamaa na marafiki zake wanaishi wapi ili ukaanzie huko?

alokwambia hajui kwa wazaz wake nani?
 
Naona umri wako haujawa stable mkuu,perhaps ukiishatulia utaoa tu...maana naona umri wako unapanda na kushuka kitakwimu haupo spesific! Lakini say una miaka hata 200 nani alikuadanganya kwamba umri ni kigezo cha kuoa?

ataoa2.
 
Sasa kwanini usianzie huko kabla ya kuja hapa?
A%20S-confused1.gif

alokwambia hajui kwa wazaz wake nani?
 
iv ushawai kuona/kusikia mtu akitoroka anarudi kwao?
 
Tuliza akili wewe! mbona wengi wanafanya hivyo? halafu nimekwambia pia ndugu na marafiki kama unajua wanaishi wapi. Si ajabu jamaa lingine limeshamuoa saa hizi wanakula maisha kwa raha zao.

iv ushawai kuona/kusikia mtu akitoroka anarudi kwao?
 
Horseshoe Arch:

Una sema umri hauko stable nilio somanao leo watoto wao (aka wetu) wako F1 hao ndo nasubiri kuoa, ninahisi kizazi cha laana kitakua kimeisha
 
Huwezi kujua yuko wapi kabla ya kumtafuta bhanaa! Wewe uliona wapi mume anakimbilia mtandaoni kufungua uzi kuhusu kupotea kwa mkewe kabla ya kumtafuta kwa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki? Kama ulifanya hivyo mbona hukuandika kwamba umemtafuta huko kwingine bila mafanikio? Tuliza akili Mkuu.

labda ndo useme ivo lakin usiseme katoroka kaenda kwa wazazi au ndugu zake
 
Huwezi kujua yuko wapi kabla ya kumtafuta bhanaa! Wewe uliona wapi mume anakimbilia mtandaoni kufungua uzi kuhusu kupotea kwa mkewe kabla ya kumtafuta kwa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki? Kama ulifanya hivyo mbona hukuandika kwamba umemtafuta huko kwingine bila mafanikio? Tuliza akili Mkuu.

kwaiyo unavofikiri wewe kwa akili zako atakuwa hajatoroka ila kaenda kusalimia kwa wazazi au ndugu zake sio?
mtu kasafisha kila kitu mpaka nguo zangu alaf aende navyo kwa wazaz au ndugu duh! think twice bro.
 
Una matatizo tena si madogo, pole sana.

kwaiyo unavofikiri wewe kwa akili zako atakuwa hajatoroka ila kaenda kusalimia kwa wazazi au ndugu zake sio?
mtu kasafisha kila kitu mpaka nguo zangu alaf aende navyo kwa wazaz au ndugu duh! think twice bro.
 
He he he.......pole sana.......
Naelekea Bunda kutatua matatizo ya walimu .......nikirudi nitakwambia cha kufanya.........

Haaahaaa
Manaake bunda hii ya ni shida aisee
Huko naona Yesu ajulikani bado
 
Back
Top Bottom