Mpenzi wangu kaniibia kila kitu, katoroka

Mpenzi wangu kaniibia kila kitu, katoroka

kwaiyo we umeona hii ya kutunga sio? any way sifikirii kwenda kumuangalia kwao kwan am sure hawez kwenda nyumbani.

Piga simu uulize sio lazma uende, pia taarifa ni muhimu, au unaogopa ulitorosha?
 
kwaiyo we umeona hii ya kutunga sio? any way sifikirii kwenda kumuangalia kwao kwan am sure hawez kwenda nyumbani.

Piga simu uulize sio lazma uende, pia taarifa ni muhimu, au unaogopa ulitorosha?hukujitambulisha na mahali hujatoa?
 
He he he.......pole sana.......
Naelekea Bunda kutatua matatizo ya walimu .......nikirudi nitakwambia cha kufanya.........

Kwa kweli, matatizo ya walimu kule ni makubwa zaidi... yaani wanafanyishwa kuwa mashoga..
 
Piga simu uulize sio lazma uende, pia taarifa ni muhimu, au unaogopa ulitorosha?hukujitambulisha na mahali hujatoa?

m.m.m.h aaah aamna unajua nini yani si wazazi wake walikuja hadi nyumbani.
 
Kuna sababu nyingne nyng sio hiyo tu, labda utuambie na mengne uliyoyaficha alkua anatafuta chanzo cha kukuliza
 
Alikuwa akiongelea mali 'assets' kama alivyosema hapo juu na si the obvious nguo, viatu ? n.k naamini.
sasa kilicho chake ndio hivyo magauni,sidiria,vipodozi,mwiko,upawa,masufuria aliyopewa ktk kitchen party n.k na kisicho chake ni pamoja na boxer za mumewe kakomba zote!huyo dada ana visa sana
 
we bangi kweli..........huyo hata hujui kama ni mke au mpenzia au mchumba..............kaulize ulikotoa mahari basi
 
Back
Top Bottom