miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
kanunue godoro na kitanda lala
kanunue godoro na kitanda lala
Sharo,ina maana hyo binti humjui kwao? huwajui ndugu zake? umesema ni mke? basi nenda kwao...nijuavyo mimi mke akiondoka na vitu vyako amekusudia umfuate alipo,bado anakupenda huyo> ila unaonekana wewe ni tatizo,yaani badala ya kulilia kua kaumiza moyo wako wewe unalilia vitu....
mmeibiana.:blah:
may be hukutoa mahari
Youngsharo hawezi kuwa na mke wala kazi..usipoteze muda kumshauri mtu anayeitwa youngsharo
angebaki home jamaa si angemchinja aseekwaiyo ndo amejisevia? basi ye angebeba vitu akahamisha alaf ye abaki home.
Sasa wewe shoga mtu katoa yake au wewe ndie girl friend aliyetoroka?
Swissme
awezi kumuua we tafuta malazi kwanzagodoro wala kitanda sio ishu, ishu ni yeye mwenyewe na mtoto wetu.
Tu - assume tu kuwa yamemkuta kweli. Au Inawezekana ukawa unampa ushauri mtu mwingine mwenye masaibu kama hayo
angebaki home jamaa si angemchinja asee
awezi kumuua we tafuta malazi kwanza
for time been just be alone .... huku ukiangalia namna ya kufanya... yafaa nini kuwa na mke mgomvi au mkorofi? maisha ni zaidi ya mkemalaz muda wowote narudisha na ivyo vitu vingine vitarudi, lakin nafikiria nitaishi vp bila mke?
Kahawa tu hizi
huyo piga kimya usimtafute wala nini assume ndo umemaliza shule anza maisha tulia kama maji ya mtingini japo ni ngumu , usikurupukie mwanamke yeyote kwanza halafi hasira zikiisha jipime upya. huyo anategemea utamtafuta umlilie lilie ndo maana angekuwa yeye hana makosa kwanini asichukue nusu ya vitu vingine aache? siku/mwaka akikutafuta mpe shart la kuridisha vitu vyote na avipange kama vilivyokuwa na ukiwa haupo then umbane akuambie alimaanisha nini alivyovibeba
for time been just be alone .... huku ukiangalia namna ya kufanya... yafaa nini kuwa na mke mgomvi au mkorofi? maisha ni zaidi ya mke
Aisee una moyo, ushauri wote huu!!
Mwenzako yupo kwenye mazoezi ya fasihi andishi likizo hii
utaweza ni mind setting tu mkuu.. kwanza kubaliana na hali halisi iliyojitokeza then fanya maamuzi kuwa imetokea and you need time to think .. maamuzi utakayofanya sasa yanweza kuwa si mazuri...sikatai kuwa peke angu kwa muda but nawaza nitaweza?
Nilikuwa nasubiri BADILI TABIA verification!!
Sasa waweza kumruhusu mwana wa Adam A.k.a Sharo aende twisheni, Ilala mchikichini.
sikatai kuwa peke angu kwa muda but nawaza nitaweza?