Mpenzi wangu kanichunia

Mpenzi wangu kanichunia

Habari wana JF,nampenzi nampenda sanaa mambo yote yuko poa si mkorofi, ukiwa nae pamoja ana care..tatizo moja linaniumiza kichwa:
1.ni nadra kwake kukutakia khali iwe ni asubuhi,mchana wala usiku mpaka umuanze.unaweza kumpigia asipokee na badae ata ku sms sorry nilikuwa nimelala..au niko busy basi
2.Hajawahi kabisa kusema mpenzi wangu tutoke tuende sehemu fulani ..makutanio yetu ni nyumban kwake tunamaliza mchezo ananirudisha home..kukutana tena mpaka mimi nimuanze ataniambia njoo najipeleka mwenyewe
3.leo ni suku 7,tangia niseme simpigii baada ya kuniahidi tutaaonana kwa issue fulan na hakuonekana nikakasirika na kumtumia sms za lawama..mpenzi wangu huyu hapigi simu wala sms ..namiss sana najilaumu kwann simtafuti moyo unahangaika nashindwa nifanyeje kurudisha mawasiliano nahisi atanidharau

Ushauri jamani..
pole sana itafika muda you will learn to let it go,hiyo inaumizaga sana i have been there yaani utadhani unanisema mimi enzi hizo na ma ex.TOUGH LOVE.
MOYO UKICHOKA dont think twice to leave him kuna mtu out there ambaye yuko tayari kukupa yote hayo.na utamsahau haraka sana.that's what i did and am happy now
 
Muache taratibu. Kwa vile roho inakuuma anza safari ya kumchora. Mpigie tu kumsalimia. Ila usiende kwake. Hata akikukaribisha muambie sijisikii kukaa ndani tukakae open space. Mchezee akili yake afu utapata faraja. Revenge is somewhat sweet, just saying
 
Habari wana JF,nampenzi nampenda sanaa mambo yote yuko poa si mkorofi, ukiwa nae pamoja ana care..tatizo moja linaniumiza kichwa:
1.ni nadra kwake kukutakia khali iwe ni asubuhi,mchana wala usiku mpaka umuanze.unaweza kumpigia asipokee na badae ata ku sms sorry nilikuwa nimelala..au niko busy basi
2.Hajawahi kabisa kusema mpenzi wangu tutoke tuende sehemu fulani ..makutanio yetu ni nyumban kwake tunamaliza mchezo ananirudisha home..kukutana tena mpaka mimi nimuanze ataniambia njoo najipeleka mwenyewe
3.leo ni suku 7,tangia niseme simpigii baada ya kuniahidi tutaaonana kwa issue fulan na hakuonekana nikakasirika na kumtumia sms za lawama..mpenzi wangu huyu hapigi simu wala sms ..namiss sana najilaumu kwann simtafuti moyo unahangaika nashindwa nifanyeje kurudisha mawasiliano nahisi atanidharau

Ushauri jamani..

Pole mdear kwa yote yanayokukuta . Naomba nikutie moyo kuwa hauko peke yako situation yako ni kama yangu ila tofauti yake ni kuwa mlikuwa tayari kwenye romance . My dear naelewa si rahisi kumsahau huyo jamaa lakini jipe moyo . Kama huyo jamaa alikuwa ni wako atakutafuta tuu , so for no mshukuru Mungu kwa yote na ujaribu kusonga mbele na maisha . Naomba usimpigie simu huyo jamaa kama kukutumia ameshakutumia sana na inatosha kwa Kweli , jaribu kusahau kwa kufanya more extra activities kama Gym, Kama mkristo Fanya volunteer at Church na Muslim do the same thing at your Mosque. I have tried to do these things and still do it work for me ( sio kama nilikuwa sifanyi before no nilikuwa nafanya ila now nimeongeza extra time , kwenye kila kitu ninachokifanya , so na wewe fanya hivyo )
Jaribu kutokufikiria kwamba wewe ni mkosaji , hapana jione kama wewe ulijitahidi vya kutosha kufanya yale yote yanayotakiwa kufanya kwenye relationship yako, lakini Jamaa alikuwa losser ,ignorant , selfish , who never care or love you as the way it suppose to be .I know si rahisi na saa nyingine utatamani kuongea nae lakini usifanye hivyo . Mwenzio nimeanza kusahau sahau kidogo . Na kama wewe ni mwanafunzi jitahidi kufanya extra school work for the extra credits . Dear try your best to have new energy na wako yuko njiani , mpendwa . Thanks.
 
Dada yangu shida ni yako am talking like a man nazijua haiba za wanaume wenzangu umeji dis value we mwenyewe. Mwanamke unapaswa upendwe kwanza sio wewe upende. hayo maumivu unayoyapata ilipaswa huyo boy wako ndo awe nayo. Go and listen when a man love a woman. Mwanaume yeyote mwenye tabia kama hizo anazokufanyia huyo hana malengo yeyote na wewe zaidi ya kusukuma siku afu anaendelee na yule anayemtoa jasho trust me najua itakuuma lakini huu ni ukweli mchungu. Hapo unapotezewa muda tu. i have ever experienced such a situation siku hizi nilishaacha tabia za kupotezea muda watoto wa watu. but ninaiona kwa marafiki zangu wadada wanapiga simu hizo wanatuma hadi na pesa lakini jamaa hana hata muda saa nyingine hapokei simu makusudi huwa naumia sana najisemea kimoyo moyo hawa wadada wangejua mbaya zaidi huwa wanaachwa wakiwa wanawapenda balaa huwa wanalia machozi mpaka huruma. hebu jipime lakini kwa haiba za wanaume hapo jipime. Mwanaume kwa mwanamke anayempenda bwana we acha tu chochote kitafanywa MUNGU aliwapa hiyo power ya kutu handle ila siku hizi ni wachache wanaojua namna ya kuitumia ipasavyo.

Nmependa huu ushauri, umefumbua macho wengi ambao hawajui wanaume
 
Yaan najilaumu mpaka nahisi moyo wangu unahisi kutoboka..nashindwa kuvumilia kutokumtafuta nae hapigi du mapenzi hay

Hebu kaza roho endelea kutulia tu hp unajodharaulisha utakuwa mtumwa wa mapenz kama anakuhtj atakutafuta na kama akikaa kimya tafuta ustarab mwengine loh fharau gan hz
 
Hvi bado kuna kitu kinaitwa mapenzi hapa duniani?
 
Jikaze mpenzi tafuta kitu cha kukukeep busy jitahid usimtafute, utampata atakae kufaa kwa wakati ukifika achana nae huyo hana mapenzi
 
into deep can't think 'bout giving it up, but i never knew that would feel like heart attack, its killin swear never cry so much but i never knew that would hurt this ----in bad, the worst pain i never had.
 
Unatumika

Kiufupi wewe ni.mchepuko

Anakutumia.kumaliza hamu zake

Anaye anaempenda

Sepa mapeeemaaaa
 
Daaah! Pole sana, dada angu ulikua unauguza kondoo sasa kama kajifia basi umepunguza kazi hivo ratibu muda wako vizuri. Ila inauma sana.
 
Hakujali huyo, inavyoonekana wewe unalazimisha mapenzi kwake
 
mh mapenzi haya! kama hayajakukuta! ushauri wa kumchunia hata yeye mwenyewe aliubeep ukampigia, sasa anatafuta ushauru gani tena? komaa hapo usipige simu kama mbwai iwe mbwai.
 
Back
Top Bottom