Mpenzi wangu kanichunia

Mpenzi wangu kanichunia

Kashakuona wa bei rahisi jaribu kumpotezea kidogo jikaze mtoto wa kike ukishindwa hata kuzaa utashindwa sasa.
 
Dada yangu shida ni yako am talking like a man nazijua haiba za wanaume wenzangu umeji dis value we mwenyewe. Mwanamke unapaswa upendwe kwanza sio wewe upende. hayo maumivu unayoyapata ilipaswa huyo boy wako ndo awe nayo. Go and listen when a man love a woman. Mwanaume yeyote mwenye tabia kama hizo anazokufanyia huyo hana malengo yeyote na wewe zaidi ya kusukuma siku afu anaendelee na yule anayemtoa jasho trust me najua itakuuma lakini huu ni ukweli mchungu. Hapo unapotezewa muda tu. i have ever experienced such a situation siku hizi nilishaacha tabia za kupotezea muda watoto wa watu. but ninaiona kwa marafiki zangu wadada wanapiga simu hizo wanatuma hadi na pesa lakini jamaa hana hata muda saa nyingine hapokei simu makusudi huwa naumia sana najisemea kimoyo moyo hawa wadada wangejua mbaya zaidi huwa wanaachwa wakiwa wanawapenda balaa huwa wanalia machozi mpaka huruma. hebu jipime lakini kwa haiba za wanaume hapo jipime. Mwanaume kwa mwanamke anayempenda bwana we acha tu chochote kitafanywa MUNGU aliwapa hiyo power ya kutu handle ila siku hizi ni wachache wanaojua namna ya kuitumia ipasavyo.

Daaah....chungu lakini dawa
 
dunia ilivyojaa wanawake wewe unang'ang'ana na huyo tu?
 
Huyo mchuniee,halaf siku akijipendekezaa nawee mfanyie kama alivyokufanyiaaaa

Ameshachuniwa wiki sasa mambo hayaendi jamaa hata hakumbuki. Ngumu Sana kujiweka sehemu ambapo hupendwi, unakuwa mtumwa.
 
Duuh!! mtoa mada ninatatizo kama lako ila cjampanulia miguu alikuwa akinichunia sana ila nami nimejifunza kuchuna toka kwake na ninajua kumsahau Aah bhana ya nn kupotezeana mda bora kuishi single.Ila pole jaman ulijipeleka kwa simba mwenye njaa jaribu kumpotezea tu.
 
Mmmnh....Mwanaume anaekupenda utamjua tuu..!! Hapo umelamba galasa..!!
 
Umeshapata Mupenzi?, kuna njia nyingi za kutafuta mpenzi, hope Mabazazi wametambua uwepo wako!
 
Ameshachuniwa wiki sasa mambo hayaendi jamaa hata hakumbuki. Ngumu Sana kujiweka sehemu ambapo hupendwi, unakuwa mtumwa.

Wengine huaga wanajirudishaaa
 
Habari wana
JF,nampenzi nampenda sanaa mambo yote yuko poa si mkorofi, ukiwa nae
pamoja ana care..tatizo moja linaniumiza kichwa:
1.ni nadra kwake kukutakia khali iwe ni asubuhi,mchana wala usiku mpaka
umuanze.unaweza kumpigia asipokee na badae ata ku sms sorry nilikuwa
nimelala..au niko busy basi
2.Hajawahi kabisa kusema mpenzi wangu tutoke tuende sehemu fulani
..makutanio yetu ni nyumban kwake tunamaliza mchezo ananirudisha
home..kukutana tena mpaka mimi nimuanze ataniambia njoo najipeleka
mwenyewe
3.leo ni suku 7,tangia niseme simpigii baada ya kuniahidi tutaaonana kwa
issue fulan na hakuonekana nikakasirika na kumtumia sms za
lawama..mpenzi wangu huyu hapigi simu wala sms ..namiss sana najilaumu
kwann simtafuti moyo unahangaika nashindwa nifanyeje kurudisha
mawasiliano nahisi atanidharau

Ushauri jamani..

wew ni ke au me?
 
Yanaaanza kama safariii, Twende fulani ukaone, Kumbe yana nguvu ni hatari, Ukishanasa ndo uponeeee, Mungu aliumba dunia na maajabu yakeeeee eeeehhhh, Ya mwenzako sikia omba yasikupateeeee, Kizaizai.......................................
 
dada shtuka hapo hamna kitu kua bize na mambo yako utamsahau tu japo utapata shida apo mwanzoni ila jikaze ivo ivo as time goes on utakua unamsahau taratibu tu kila jambo linawakati wake na hilo litapita utakuja kupata mwingine na kukaa kivulini ukiyafurahia maisha
 
Back
Top Bottom