Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,819
ni kweli kabisa,nisisahau hili pozi kwenye avatar yako limekubali!hii imesaidia wengi atasahau tu mdogo mdogo
ni kweli kabisa,nisisahau hili pozi kwenye avatar yako limekubali!hii imesaidia wengi atasahau tu mdogo mdogo
Dada yangu shida ni yako am talking like a man nazijua haiba za wanaume wenzangu umeji dis value we mwenyewe. Mwanamke unapaswa upendwe kwanza sio wewe upende. hayo maumivu unayoyapata ilipaswa huyo boy wako ndo awe nayo. Go and listen when a man love a woman. Mwanaume yeyote mwenye tabia kama hizo anazokufanyia huyo hana malengo yeyote na wewe zaidi ya kusukuma siku afu anaendelee na yule anayemtoa jasho trust me najua itakuuma lakini huu ni ukweli mchungu. Hapo unapotezewa muda tu. i have ever experienced such a situation siku hizi nilishaacha tabia za kupotezea muda watoto wa watu. but ninaiona kwa marafiki zangu wadada wanapiga simu hizo wanatuma hadi na pesa lakini jamaa hana hata muda saa nyingine hapokei simu makusudi huwa naumia sana najisemea kimoyo moyo hawa wadada wangejua mbaya zaidi huwa wanaachwa wakiwa wanawapenda balaa huwa wanalia machozi mpaka huruma. hebu jipime lakini kwa haiba za wanaume hapo jipime. Mwanaume kwa mwanamke anayempenda bwana we acha tu chochote kitafanywa MUNGU aliwapa hiyo power ya kutu handle ila siku hizi ni wachache wanaojua namna ya kuitumia ipasavyo.
ushauri wako umenifaa hata mimi.najiona nimebaki mifupa .roho inaniuma nalia kila siku mtu hajali. asante mkuu.
Habari wana JF,nampenzi nampenda sanaa mambo yote yuko poa si mkorofi, ukiwa nae pamoja ana care..tatizo moja linaniumiza kichwa:
1.ni nadra kwake kukutakia khali iwe ni asubuhi,mchana wala usiku mpaka umuanze.unaweza kumpigia asipokee na badae ata ku sms sorry nilikuwa nimelala..au niko busy basi
2.Hajawahi kabisa kusema mpenzi wangu tutoke tuende sehemu fulani makutanio yetu ni nyumbani kwake tunamaliza mchezo ananirudisha home..kukutana tena mpaka mimi nimuanze ataniambia njoo najipeleka mwenyewe.
3.Leo ni suku 7,tangia niseme simpigii baada ya kuniahidi tutaaonana kwa issue fulan na hakuonekana nikakasirika na kumtumia sms za lawama mpenzi wangu huyu hapigi simu wala sms, namiss sana najilaumu kwanini simtafuti moyo unahangaika nashindwa nifanyeje kurudisha mawasiliano nahisi atanidharau.
Ushauri jamani.
Dada yangu shida ni yako am talking like a man nazijua haiba za wanaume wenzangu umeji dis value we mwenyewe. Mwanamke unapaswa upendwe kwanza sio wewe upende. hayo maumivu unayoyapata ilipaswa huyo boy wako ndo awe nayo. Go and listen when a man love a woman. Mwanaume yeyote mwenye tabia kama hizo anazokufanyia huyo hana malengo yeyote na wewe zaidi ya kusukuma siku afu anaendelee na yule anayemtoa jasho trust me najua itakuuma lakini huu ni ukweli mchungu. Hapo unapotezewa muda tu. i have ever experienced such a situation siku hizi nilishaacha tabia za kupotezea muda watoto wa watu. but ninaiona kwa marafiki zangu wadada wanapiga simu hizo wanatuma hadi na pesa lakini jamaa hana hata muda saa nyingine hapokei simu makusudi huwa naumia sana najisemea kimoyo moyo hawa wadada wangejua mbaya zaidi huwa wanaachwa wakiwa wanawapenda balaa huwa wanalia machozi mpaka huruma. hebu jipime lakini kwa haiba za wanaume hapo jipime. Mwanaume kwa mwanamke anayempenda bwana we acha tu chochote kitafanywa MUNGU aliwapa hiyo power ya kutu handle ila siku hizi ni wachache wanaojua namna ya kuitumia ipasavyo.
yeap hii pia ni kweli though it can take few percent among menmhh this is true n well said but sometimes hutokea kwa women pia. I once had an experience (am KE)from mleta thread apo. tumekaa almost a year mm huyo jamaa sijawah mfata kwake, na hata tukimeet kwake priority yake kwangu haikua sex , akniudhi nitamchunia vizuri tuu na siku za kutosha ataomba msamaha...atanifata hata usiku wa manane nikimwambia am lonly..etc. bt huez amin alikua na mwanamke ana mimba yake..na hata kuja kuachana kisa hyo ishu aftr 2 month alirud anaomba tuendelee na r.ship. so mtu anaweza kua caring but still ni muongo tuu.
Mkuu binadamu kila siku ana jipya la kujifunza na tambua kila wakati unapopata afya njema na pumzi ya uhai hiyo ni nafasi ya kujitathmini na jufanya mabadiliko chanya katika maisha yako. Japo kuwa kuna wakati ni ngumu kusaha lakini ni vema kutoangalia ulikotoka pale unapofanya mabadiliko yaliyo chanya juu ya maisha yako.Hujachelewaushauri wako umenifaa hata mimi.najiona nimebaki mifupa .roho inaniuma nalia kila siku mtu hajali. asante mkuu.
Habari wana
JF,nampenzi nampenda sanaa mambo yote yuko poa si mkorofi, ukiwa nae
pamoja ana care..tatizo moja linaniumiza kichwa:
1.ni nadra kwake kukutakia khali iwe ni asubuhi,mchana wala usiku mpaka
umuanze.unaweza kumpigia asipokee na badae ata ku sms sorry nilikuwa
nimelala..au niko busy basi
2.Hajawahi kabisa kusema mpenzi wangu tutoke tuende sehemu fulani
makutanio yetu ni nyumbani kwake tunamaliza mchezo ananirudisha
home..kukutana tena mpaka mimi nimuanze ataniambia njoo najipeleka
mwenyewe.
3.Leo ni suku 7,tangia niseme simpigii baada ya kuniahidi tutaaonana kwa
issue fulan na hakuonekana nikakasirika na kumtumia sms za lawama
mpenzi wangu huyu hapigi simu wala sms, namiss sana najilaumu kwanini
simtafuti moyo unahangaika nashindwa nifanyeje kurudisha mawasiliano
nahisi atanidharau.
Ushauri jamani.