Mpenzi wangu hataki kufuta namba ya ex wake

Am i being to jealousy or my instincts are right?
Tia mimba kwanza kabla hujachumpa km atakua anamtomba na mimba hivyo hivyo sio kesi ila ushapiga machata yako akili za kiutu uzima hizo nimekupa hutaki acha ababuliwe umkute amezalishwa na ex wake, niliwahi kua na manzi wa hivyo nikasema huyu dawa yake ni kumjaza utumbo tu kisha nione atafanyaje uzuri alielewa plan yangu nikapiga chini
 
1. Mimi ambacho nna uhakika nacho 100% ni kwamba wewe mwenyewe ukirudi kutoka europe (kama utarudi) hutamtaka tena huyo mwanamke. Asilimia 99 ya wanaume wanaoenda "europe" hua hawarudi kwa wanawake zao waliowaacha bongo (nina mifano hai mingi sana tena ya watu wenye ndoa).

2. Ushauri wangu wewe endelea na maisha yako, nenda "europe", by the time unarudi utakua una akili ya kujua hasa ni nini unataka maishani. Kinachokusumbua kwa sasa ni utoto
 
Muda ambao ulitakiwa uwe una kaza pisi kali nyingi wewe umeenda kujicommit, tena bila yeye kujicommit kwako.
 
Ndio maana mimi siwezi kumwambia mpnz mpya kuhusu ex wangu hata picha simuoneshi na hata jina lake hatokaa ajue
Na mimi kufuta namba ni kitu kizito namba za ex ninazo na sijawah kuongea nae

Wadada msiwe mnawaonesha wapenzi wenu ma ex zetu
Hakikisha mpnz wako hamjui ex wako hata kwa jina

Hawa wanaume wana ego sana
 
Habari ya asubuhi, i am kinda sorry kuja na post Kama hi tena asubuhi ambayo i know most of you are busy working, but i have something really really important, its a weight i can no longer carry on my shoulders for it brings me nothing other than high level of uncertainty and unfaithfulness

i have a girl, 23 years old ambae nimekua nikidate nae kwa mwaka mmoja sasa ,but ni mtu ambae kind of alikua na mpenzi ambae wamedate nae since their teenage sasa imekua ngumu mimi kuvumilia kuona bado ana namba zake , my instincts tells me kua bado wanawasiliana behind my back.

Tumegombana sana kuhusu ili swala kila akifuta baada ya muda utamkuta nayo tena , yaani kila akiifuta baada ya muda yupo nayo tena mimi mpaka sielewi more than ten times imekua ivi , what am i missing

Please embu misaidie kuchanganua hili , mimi ni mtu nilieplan kumuoa lakini natazamia kwenda europe ASAP sasa i believe kutakua na umbali na huyu ex wake yupo hapa hapa Dar if she is keeping his number after all this time what are my chances embu watu wazima mnipe ushauri , i know experience dont lie ill listen to you mana yeye anasema kua na namba tu haina shida lkn kwangu mimi its something different.

Am i being to jealousy or my instincts are right?
How old are you?
 
Kummke ningekuwa karibu yako ningekupiga Kofi la USO ili ukae Sawa.

Dogo huyo Malaya anakutesa sababu humkojozi na amejua wewe huwezi kuongea kwakwe na nyinyi mliosoma hizi shule Za St mnasumbuliwa Sana na mapenzi.

Nenda katafute Maisha au kusoma vyote Sawa achana na Malaya wa kitambaa cheupe huyo.

Em nitumie namba Yake nimfokee kwanza.
 
Ninae dem wa hivyo Ambae nilimtoa bikira mwenyewe kwa saSa yupo mkoa mwingine na nilipo ambapo ndio kwao ameolewa ni miaka 10 sasa ila no yangu bado anayo na hua ananicheki mara chache chache japo simzingatii lakini akijaga mkoa niliopo hunicheki na mbususu huwa ananipa bila hiyana.
 
Chukua namba ya huyo jamaa mpigie kwa simu yako mwambie nimekuta meseji zako kwenye simu ya mke wangu. Sihitaji mawasiliano na mke wangu.
 
Sijui anaenda kufanya Nini nahuo ujinga wake kichwani.
wewe ujaulizwa kuhusu akili , you judge so easily something which tells me i am way bright than your whole clan combined, inshort kama huwezi kutoa ushauri acha
 
Nashukuru sana kwa replies mlizonipa, these who have been polite , i really appreciate the level of maturity that you have shown , it was so prudent of you to do so. And these, who for no reason were being harsh , i don't know what you are going through in life but may your feeble minds that cant comprehend a very simple task like giving advice to someone be well ASAP.
 
Habari ya asubuhi, i am kinda sorry kuja na post Kama hi tena asubuhi ambayo i know most of you are busy working, but i have something really really important, its a weight i can no longer carry on my shoulders for it brings me nothing other than high level of uncertainty and unfaithfulness

i have a girl, 23 years old ambae nimekua nikidate nae kwa mwaka mmoja sasa ,but ni mtu ambae kind of alikua na mpenzi ambae wamedate nae since their teenage sasa imekua ngumu mimi kuvumilia kuona bado ana namba zake , my instincts tells me kua bado wanawasiliana behind my back.

Tumegombana sana kuhusu ili swala kila akifuta baada ya muda utamkuta nayo tena , yaani kila akiifuta baada ya muda yupo nayo tena mimi mpaka sielewi more than ten times imekua ivi , what am i missing

Please embu misaidie kuchanganua hili , mimi ni mtu nilieplan kumuoa lakini natazamia kwenda europe ASAP sasa i believe kutakua na umbali na huyu ex wake yupo hapa hapa Dar if she is keeping his number after all this time what are my chances embu watu wazima mnipe ushauri , i know experience dont lie ill listen to you mana yeye anasema kua na namba tu haina shida lkn kwangu mimi its something different.

Am i being to jealousy or my instincts are right?
Bro muaxhe awe na hiyo namba,sababu ujumbe uko wazi hapo huyo mnakula pamoja na wala usiogope Jenga maisha, maisha ni mafupi kama hasikii jiongeze.na tujitahidi kupambania ndoto zako sababu ndoto zisipotimia atakukimbia utakula.polisi.
 
Back
Top Bottom