- Thread starter
- #41
ungemuacha apime, kisha aamue !
Kunijulisha tu kumefanyika baada ya kupima na akapa maamuzi.
ungemuacha apime, kisha aamue !
Ndio mkuu!
mwambie 2 atoe kama anataka kazi,,then wewe kama unamwonea uruma masaidie utowe wewe kwa naaba yake
Wizara ya elimu.
Mhhhhh! Malizia basi Lizzy
mwambie 2 atoe kama anataka kazi,,then wewe kama unamwonea uruma masaidie utowe wewe kwa naaba yake
Kwa jinsi ajira ilvyo adimu, lazima anaweza kusaula.Ye anataka kutoa?
Lizzy bwana, siuseme tu? Alitaka kusema angetoa endapo labda tu kama aliyemuomba ni Kongosho. Lol
Believe me huo uamuzi uliomwambia auchukue utakutesa sana wewe siku za usoni, kama bado utakuwa hapa utanambia..........EXPERIENCEJamani Tanzania hali si nzuri hata kidogo.
Mpenzi wangu yupo katika wakati mgumu wa kutafuta ajira,jamaa amemuahidi kazi ipo ila awe tayari kumtolea nguo za ndani.
Nimemshauri aachane nae na kuangalia utaratibu mwingine.
Mue makini dada zangu kwa hili.
Yawezekana yamejificha mengi hapoUna uhakika?
Si ushahidi utatakiwa. Awe tayari kuutengeza ushahidiBasi nendeni mkamshtaki huyo muombaji.
precisely!usiamini sana wanawake inawezekana ka fail interview ndo kaja na sababu hizo-afu wewe unadhani wakivua nguo za ndani huwa wanasema....wakisema ujuwe wanakasoro za kiakili tu.