Mpenzi wangu anavuta bangi

Akikwambia anaacha Bangi anahamia kwenye Unga itakuwaje?
 
Wewe wala usiwe na shaka, kama 'she is smart' na anaidhibiti vizuri basi hawezi kuwa 'addicted'.Kuna wanawake wengi tu wanatumia na wako 'okay' kwa kila hali.. zaidi ya hayo huwa zinawaongezea mvuto wa kimapenzi zaidi..
 
aaaah wapi,ww wasema,mtu akifanya upumbavu ni kwa sababu na yy ni m.pu.mba.vu!na c bangi,mangapi tunashuhudia ya ajabu yanafanyika wanaofanya wanakua wamebangika?acha hizo hahaa!

Tujuze km mzuka unapanda mwanangu!
 
hainiumizi sababu kwa mda wote haijaniathiri chochote,conflict inakuja ni je ataendelea kua hivi hivi kwa upole huu,na je mtoto atamlea vipi na mimoshi yake?

na katika kipindi hiki ataficha mengi, balaa litaanza ukishamuweka ndani rasmi... kwanini usiongee nae na umweleze ukweli kuhusu hiyo hali jinsi unavyoichukulia, then mwambie achague moja muachane au aache tabia yake (kuvuta bangi) na kama kweli anakupenda naimani ataiacha hiyo tabia.
 

Hayatuhusu. This is your private business.
 
Weed haina madhara kwa wastaarabu,tunaovuta kwa starehe!na wengi wanaotumia ni wastaarabu,so huyo gal wako hana shida,ni starehe yake!
Passion na ww mdau...????nilijua tu majibu majibu yako yamekaa "Kibangebange....."! ha ha ha am playing with u sweetie...
 
Haina mbaya mkuu. Ila awe anavuta na wewe ukiwepo, vijiweni wanaweza kumchanganyia na poda akawa teja.
 
Sasa kiongozi kwa jinsi unavyomkunjakunja na hiyo misarakasi yako bila kuwa na GANZI ya ndumu unafikiri ataweza ilo game?
 
hii thread inaonesha ni kwa kiwango gani members mmekuwa ni watumiaji wa bangi, jamani bangi sio kitu sahihi kabisa, faitilieni side effects za composition yake ili mjifunze. kwako uliyeleta uzi huu, partnership ya mapenzi ni kama ya biashara, inategemea na malengo yenu na tabia zenu. kama unatabia na unaona sahihi utumizi wa vilezi hasa bangi basi ishi nae, ila kama wewe si muumini wa maisha hayo please find partner mnaye fit nguzo na taratibu za maisha yenu.
 
Vuta na wewe mwende draw!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
bila shaka kitu from arusha moja iooo kawaida sana.
 
Huyo demu wako nshamjua, alinambia hana mpango wa kuacha bangi. Alinambia ana mpenzi wake JE, kumbe ndo wewe?

sasa unataka awe wako?
mpwa mbn kila dem unadandia ?wakikung'ata kama suarez itakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…