Mpenzi wangu anavuta bangi

Swali kubwa ulilouliza ni kama bangi ni sawa na pombe...
Nielewavyo mimi Pombe ina madhara zaidi kiafya na kijamii kuliko bangi.
Tatizo kubwa la bangi ni more addictive kuliko pombe. Akiweza kujicontrol akavuta kwa kiasi sioni ikimsababishia yeye, wewe au jamii inayowazunguka madhara. Shida itatokea pale akikolea na ikatokea kipindi inamlazimu aache, mfano ujauzito; atapata shida sana.
Otherwise kama anavuta kwa kiasi sioni kama ni shida. Actually kwa kuwa umejua ni bora ukawa unamnunulia anavutia home huku ukiendelea kushawishi apunguze na aache kabisa...
 
Mkataze kabisa msijezaa watoto wana crack kichwani. Kwake yeye poa na watotoje?

Atakuwa ni msanii kizazi kipya kamuulize Kamanda Jide wa anakonda kijiti kile
 
Wote...siku nkigundua wife anavuta bangi namrudisha kwao fasta haina majadiliano.

Mmh huo ndo ukubwa?kumrudisha wife home.kwani hapa tunaongelea ukubwa gani labda.?wa kimwili au kiwaakili.?
 

Ur nt serious mkuu....hahahhaah
 
Juzi Kati hapa Obama alisema bora mtu anaevuta bangi kuliko anaye kunywa pombe upo hapo!!
 
Khaa.!!nimnunulie bangi.?asante kwa ushauri ila kumnunulia bangi hapana.
 
Mmmm, huu uzi umenipa mawazo mengi sana;
Mambo mengine ni magumu hata kushauri.
 
Yeye anakula mjani ,wewe unakula mtungi basi ngoma droo.

kijiwe chake huwa wanakuwa na kina 20%,Chuji na Boban.
 
Lakini ukweli umemuweka huru,so jamaa aamue,sijawah ona mtu anavuta bange anajjikojolea,au anasababisha ajali barabarani,ila sasa wanywa serengeti na tusker ni noumer!mi naona aache pombe aungane na gal wake kwny kijiti!
Sasa kama huyu si unaona anataka kukata kamba tetere!!!!!
Msome Tuko hapo
 
Last edited by a moderator:
Mmh huo ndo ukubwa?kumrudisha wife home.kwani hapa tunaongelea ukubwa gani labda.?wa kimwili au kiwaakili.?

Huwezi kuwa mkubwa halafu ukawa na demu....wakubwa wanakuwa na majukum ya kifamilia...oa achana na issue za kumfuata demu mpk kwnd kuchungulia dirishani.
 
kama ana daz muache mtoto ale stimu..........sema yeeeeeesss raaasssssta
 
Juzi Kati hapa Obama alisema bora mtu anaevuta bangi kuliko anaye kunywa pombe upo hapo!!

Mkuu inategea mtu anakunywa pombe kias gan na mvuta bangi anacuta kias gani.obama naona na yeye alikua anatete kilevi chake as kma anavuta sigara lazima ma bange ashavuta.
 

ahahaha, anajificha kwasababu anaogopa kukwambia anaweza kukupoteza, cha msingi mwambie tu nakuruhusu uvute bangi ila sitaki uvute na wanaume wengine, na kama anataka kuvuta bangi basi avute na wewe ukiwepo, ikiwezekana jifunze uwe unamnyongea unampa, halafu taratibu taratibu unatumia busara kumwachisha, lakini ukimpiga biti aache hawezi kuacha mkuu. mfano akiwa anavuta na ww upo pembeni, unaanza kumpa darasa kua bangi sio nzuri na ajaribu kuacha taratibu, mfano mwambie ipo siku utakua mama, na bangi sio nzuri inaharibu cell za mtoto kwenye ukuaji sasa atajiharibu kizazi, kwahiyo kama ana mapenzi na mwanae mtarajiwa apunguze na ikibidi aache. jaribu kutoa maneno matamu yatakayo mgusa moyo wake na kuona kweli unamjali.
 
Mkuu inategea mtu anakunywa pombe kias gan na mvuta bangi anacuta kias gani.obama naona na yeye alikua anatete kilevi chake as kma anavuta sigara lazima ma bange ashavuta.
Mkuu kwani madhara ya cannabis ni yepi???!!!
 
Huwezi kuwa mkubwa halafu ukawa na demu....wakubwa wanakuwa na majukum ya kifamilia...oa achana na issue za kumfuata demu mpk kwnd kuchungulia dirishani.

Duu poa mkuu ntaoa..
 

Yaani kama unasoma nasaha za mke wangu!!!!!!
 
Reactions: HMS
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…