Mpenzi wangu anatumia namba mpya ya simu kwa siri.

Mpenzi wangu anatumia namba mpya ya simu kwa siri.

I see, sasa asiye malaya ni nani?
..Kwani tofauti ipo wapi kwa anayevua kwa wanaume wawili na yule anayevua kwa mmoja miezi mitatu, then abadilishe mwingine
ndo wale wale maana ktk mapenzi bwana km utaachana na mwenza unashauriwa kutulia ili ujitathmini nini kilisababisha muachane ili ukipata mwingine mtulie na kufkia malengo
maana mi mahusiano just for funny yaani sikuwahi kuyafkria kwa kweli na sipendi hiyo tabia ya kumegwa na kuachwa
 
Vijana wanatuonyesha jinsi ambavyo wanaweza kuusambaza ukimwi kwa kupenda wenyewe kwa kuwa na mahusiano na zaidi ya mtu mmoja. Nawashauri mbadilike someni na msubiri kumpata Mume/Mke kutoka kwa Mungu ambaye hatakuwa na tabia za kuchepuka kama mnavyofanya.

kweli kabisa ndoa
 
kwa nini usumbuke!? toa talaka upite na king'asti wako mpya!! habari ya mamaake mwachie baba yake, ulimwengu wenyewe upi wa kusumauana kisa eti mapenzi
 
Pole sana huyo hafai ni tapeli wa mapenz ht akiwa mke atakusumbua wkt tulionao ni mbaya maradhi mengi hakuna msamaha hapo ww endelea na mpya fikiria ndoa ss michepuko co dili
 
Pole sana huyo hafai ni tapeli wa mapenz ht akiwa mke atakusumbua wkt tulionao ni mbaya maradhi mengi hakuna msamaha hapo ww endelea na mpya fikiria ndoa ss michepuko co dili

Asantee
 
Mwanamke Kama Kikombe Cha Glass Usipokivunja Huna Thamani Tena
 
Wewe ndio unamuibia mtu huyo si mpenzi wako stuka.

Afadhal umemwambia ukwel maana huyu kaka hajitambui kabisa, yeye kamkuta na lain Mara mbili kavumilia yeye kaona profile picture anakwenda kusema kwa mama ,pu......vu zako
 
Mapenz kitu cha ajabu sana,ukiwa unapendapenda tu bila akili utaishia pabaya.Yani ulitakiwa kumuacha siku nyingi sana alipokubali kuwa ana wasiliana na x wake kwa siri.

Kama una mwingine then haina haja ya kwenda kwa mama yake sababu huyo wa sasa akijua hawezi kukubali.Mwambie mama yake kuwa upo busy umesafiri.
 
Asante sana mkuu naheshimu michango ya wanajf najua jf ni darasa huru, nashkuru sana jaman
 
pasua kichwa huyo temana nae

Nashukuru hapa ndo natoka kuongea na mama yake kwenye simu alipiga kuuliza km nitaenda ikabidi nifunguke kila kitu na kuweka msimamo wangu wazi kwamba mwanae simuhitaji tena kwa headache aliyokwishanipa sina hamu nae, mama kanielewa akasema alitaka kupata maelezo ya pande zote mbili yeye sio muamuzi uamuzi anauacha mikononi mwetu wenyewe
Hapa nimefurahi sana kwa sababu hata akipatwa na mabaya mama yake hatakua na shaka na mimi tena na nimepata uhuru kamili wa kua na mpenzi wangu mmoja.
 
Mama yake anakuita?

Wazazi wa siku hizi tuna mambo

Kijana soma mapenzi utayakuta
 
daaa! utoto nooma ushauri wa nini tena wakati ukweli umeshaujua hata kama unauma maamuzi ni kichwani kwako, kila la kheri
 
We nenda ila kuwa na maamuzi yako. Maana huyo binti hakupendi ni mnafiki tu
 
Hali kama hiyo imesha wahi kunikuta kwa mpenz wangu niliemwanzishia uzi cku chache zilizopita,ilifikia hatua nikampokonya lain zote alizokuwa anatumia nikamsajilia lain mpya lakini wapi hakusokia,Baadhi ya watoto wakike wanahatari sana usipokuwa makini watakupa uchizi
 
Back
Top Bottom