Mpenzi wangu anatumia namba mpya ya simu kwa siri.

Mpenzi wangu anatumia namba mpya ya simu kwa siri.

we nae mbona mwanaume mzima huna msimamo mtu ushamuona anatabia ya kukudanganya lkn bado uko nae unataka akuletee magonjwa ndio umuache . achana na huyo binti endelea na huyu mpya. na kwao usiende we unajua kamwambia nini mama yk. sasa we nenda hafu ukute kamwambia mama yk anamimba yk shauri yk

Asante kwa ushauri mkuu, mm sikutaka kuachana nae kwa tukio moja tu nilitaka kupata evidence za kutosha ndo maana nikawa na subira ili nizidi kujifunza mengi ila niliumia balaa usiombe yakukute, mm ni mwenyeji wa mkoa wa mara na kama unavyojua watu wa mara wanajulikana kwa kupenda fujo so sikutaka picha yangu iwe hivyo na ndo maana nikapiga moyo konde kwa kujua ni upepo unapita tu.
 
Mm sina hata hamu naye kabisa na hata nikiamua kwenda kwao najua hiyo ndo topic inayofanya niitwe na ikitokea mama anashauri turudiane mm kiukweli ni mdhaifu sana hua siwezi kua na mpenzi zaidi ya mmoja hivyo huyu mpenzi wang wa sasa nitamwambia nn endapo atajua maana ananiamini sana wala sitaki kumuumiza hata chembe

How old are you? Na huyu ni mpenzi wako wa ngapi?... ninachoona mimi.. Huyu binti amegundua wewe ni zoba fulani hivi .. sasa mama yake kamwambia ukimwancha huyu mdwanzi hupati mwingine tena wa kumtawala kiasi hicho.. sorry lakini ni maoni yangu, yawezekana si hivyo...
 
How old are you? Na huyu ni mpenzi wako wa ngapi?... ninachoona mimi.. Huyu binti amegundua wewe ni zoba fulani hivi .. sasa mama yake kamwambia ukimwancha huyu mdwanzi hupati mwingine tena wa kumtawala kiasi hicho.. sorry lakini ni maoni yangu, yawezekana si hivyo...

Am 25 years old, km cjakosea huyu ni mpenzi wang wa tatu na sikutaka kukosan nae kabisa na mara zote nilijitahidi kuwa kimya aliponikosea ili nisifanye maamuzi kwa influence ya hasira ila mm sio zoba hata kidogo mkuu nina experience ya kutosha nilijitahid kudum nae kwa sabab sikutaka kuruka ruka kila mara, pale udsm nimesoma na wadada wengi sana but sikutaka kuchanganya topics kabisa
 
Jaman wanajamvi mim ni kijana mwenzenu, nilianza uhusiano na mdada flan tangu 2011wakati huo yeye alikua anasoma diploma chuo flan huko mkoan, mim nilikua first year chuo kipo hapa dar, baada ya mda mpenzi wangu alinunua laini mpya ya simu bila kuniambia kwamba anamiliki lain hyo baadae alisahau na kujikuta siku moja amenitafuta kwa lain hyo, nikamuuliza hiyo namba ni ya nani? Akajibu ni rafiki yangu,

Mm binafsi nilipata mashaka san hivyo ile namba nikaisave ili mwisho wa siku nijue ukwel, baada ya siku nying kupita nilianza kupiga ile namba lakin haipokelewi hata mara moja, nikapata wasiwasi zaidi, aliporudi likizo nikamuuliza vizuri akasema siyo namba yake hapo nikapata wazo la kuangalia mwenye hyo namba kwenye tigo pesa nikakuta ni jina la mpenzi wang, nikamsihi aseme ukweli na hapo akafunguka na kuniomba samahani nami nikamsamehe lakin baada ya mda nikamuomba aseme ukweli kua hyo lain kwann alikua anaitumia akasema alikua anatumia kuwasiliana na mpenzi wake wa zaman anapotaka kumsalimia na akaongeza kua hakua na nia mbaya, mm nikakubali ili yaishe na yeye akasema hyo lain ameisha ivunja.
Likizo iliisha akarudi chuo baada ya mda mrefu nikajaribu kupiga ile namba nikakuta inatumika siku hiyo kwa sabab na mm nilipiga na namba ya rafiki yangu hivyo baada ya yeye kumaliza kuongea akaona missed call akapiga nikapokea alivyosikia ni mm akakata simu na kuitoa hiyo lain, siku hyo kwangu ilikua mbaya sana, baadae tukaongea nikasamehe.

Haikuishia hapo alinunua nyingine tena nayo niliipata baada ya kujichanganya na kunitumia meseji kwa namba mpya maana alikua anatumia simu ya lain mbili,nikauliza akajibu samahani hii lain ni friend wangu nikamwambia una uhakika? Hapo akawa na kigugumizi sikuendelea na hyo topic, siku zikapita nikarudia kuitafuta ile namba ikaita sana bila majibu, nikamwambia akawa mkali sana, ikabidi mm niwe mpole ili nijue mambo zaidi.
Baada ya mda nikaangalia jina lain ni ya kwake na alikua anajiamini kwa sabab mm natumia mtandao tofauti na hyo lain hvyo sio rahisi kumuangalia kwenye tigo pesa, nilipojua akaomba samahani tena.

Nilichowaza ni kwamba mpenzi wang sio mkweli hivyo nikaamua kumuondoa moyoni, siku zikapita kuna siku nimepiga simu akapokea mwanaume nikashtuka sana wala sikuamin ikabidi nikate simu nilipopiga tena akapokea mpenzi wang nikauliza nani alipokea simu akasema kua ni yeye mwenyewe alipokea, nikawa mpole tu, kuna wakati kila tulipomaliza kuagana simu yake ilitoweka hewani kila siku tena kwa lain zake zote na ikifika saa 12 asubuhi anapatikana nikiuliza anasema mtandao unasumbua huko mkoa.

Hivi juzi tu Baada ya visa hivyo niliamua kuchepuka ili nimsahau na niondoe stresse, na kwa bahati nzuri amejua na kuniuliza baada ya kuona profile picture ya mdada kwenye whatsapp yang, alichokifanya alisema kwa mama yake na jana mama yake alinipigia simu kua niende ana mazungumzo na mm, je ndugu mnanishaurije? Niende au nisiende? Mm tayari nimeshamwambia ukweli kua nimechepuka

Wewe ni Kilaza.
 
Ndo mana sikuhz maadili hakuna, hv hako kabinti kanatoa wapi ujasiri wa kupeleka bf kwao tena mpaka kwa mzazi na yy kama mama anaonyesha amekubaliana na huo uzinzi wa mwanae kwa asilimia zoooote ndo mana hata ameweza kukuita nyumban, anakuita kama nani? Pili, nakubaliana na mdau aliesema huyo binti kakuona zoba, wanaume nawajuavyo mm hawawezi kupelekeshwa kijinga hivyo, yani huyo ana cheat kabisaaa ila ameshagundua u r too damn to knw it anakudanganya danganya na kukuomba vimsamaha vya uongo na ww unakubali. Me nazan hata hapa huwez kupata wala kufata msaada wa mawazo utakaopewa nenda tu huko ukweni ulipoitwa ukawekwe sawa uendelee kuwa zoba
 
Mkuu utasema nafurahisha kwa sababu mm ndo yamenikuta ila kama yangekukuta wewe ndo ungejua radha yake

Hayatokaa yanikute!

Yani ya kumfanyia mmoja aliyonifanyia mwingine halafu nijifanye naumia kwa ninachofanyiwa!??? Acha izo mkuu...
 
hamna mke hapo
kwangu mimi mwanamke km anaeweza kuvulia chupi wanaume wawli wote ana mahusiano nao huyo malaya(am sory sijatumia tafsida)
 
hamna mke hapo
kwangu mimi mwanamke km anaeweza kuvulia chupi wanaume wawli wote ana mahusiano nao huyo malaya(am sory sijatumia tafsida)

I see, sasa asiye malaya ni nani?
..Kwani tofauti ipo wapi kwa anayevua kwa wanaume wawili na yule anayevua kwa mmoja miezi mitatu, then abadilishe mwingine
 
Am 25 years old, km cjakosea huyu ni mpenzi wang wa tatu na sikutaka kukosan nae kabisa na mara zote nilijitahidi kuwa kimya aliponikosea ili nisifanye maamuzi kwa influence ya hasira ila mm sio zoba hata kidogo mkuu nina experience ya kutosha nilijitahid kudum nae kwa sabab sikutaka kuruka ruka kila mara, pale udsm nimesoma na wadada wengi sana but sikutaka kuchanganya topics kabisa

OK, nakushauri achana na huyo binti...
 
Vijana wanatuonyesha jinsi ambavyo wanaweza kuusambaza ukimwi kwa kupenda wenyewe kwa kuwa na mahusiano na zaidi ya mtu mmoja. Nawashauri mbadilike someni na msubiri kumpata Mume/Mke kutoka kwa Mungu ambaye hatakuwa na tabia za kuchepuka kama mnavyofanya.
 
Vijana wanatuonyesha jinsi ambavyo wanaweza kuusambaza ukimwi kwa kupenda wenyewe kwa kuwa na mahusiano na zaidi ya mtu mmoja. Nawashauri mbadilike someni na msubiri kumpata Mume/Mke kutoka kwa Mungu ambaye hatakuwa na tabia za kuchepuka kama mnavyofanya.

wanakuona ka shetani kwa huu ushauri mzuri
 
Back
Top Bottom