Mpenzi wangu anataka tufanye mapenzi mara moja tu kwa mwezi

Mpenzi wangu anataka tufanye mapenzi mara moja tu kwa mwezi

Hapo kuna mawili ww humridhishi au Demu wako hakukubali tu.....Mwanamke akikupenda takuletea kila cku nyapu yake uichapee.... Bas ukiona unapewa ratiba ujue kuna mwanaume mwenzako anakula bla ratiba....Truth to be told

Sawa mkuu
 
Muoe uache kuzini.....unataka kila siku kwani umemuoa ...bwege we........wanaume sijui mkoje pumbavu sana
 
mkuu unataka kuchakaza mashine ya binti.....ushawahi kumgusia suala la ndoa? ....akasemaje?? majibu yote utayonipa......nakuhakikishia blaza....manzi yako anagongwa insta mahali......amini usiamini......ila elewa sio mkeo huyo,, ana uhuru wake.........umeshapangwa......wajanja haoo....kuwa makini sana.....
 
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako
 
Habari wana JF,

Niende moja kwa moja kwenye mada husika, mimi ni kijana mwenye umri kati ya 28 hadi 34 hapo.

Nimetokea kuwa na mahusiano na mdada umri miaka 26, ninampenda na ananipenda lakini tatizo ni yeye anataka tunakutana kimwili mara moja tu kwa mwezi, mimi uwezo wangu ningependa iwe kila siku na uwezo huo ninao.

Sio kwamba hafurahii tendo lenyewe bali anasema ndivyo alivyo, kwa kweli hiyo mara moja tukikutana huwa anaitumia vizuri na mimi huwa naitumia vizuri sana kuanzia kumuandaa kisaikolojia hadi tendo lenyewe.

Sasa wana JF nisaidieni niendelee nae huku roho inateseka au nitafute mpenzi mwingine? Mpenzi atakayeweza kukidhi hitaji langu.

NB: Matusi sio ushauri
huyo dada kakeketwa. chunguza!
 
Mdada kutokupa ngono haimaanishi anachepuka aisee, acha uzinzi oa hao wanaume wenzako wanakudaganya sasa imagine mdada anakupa daily nakwa mwanaume mwingine anatoa ka watano ili wamuoe. Kupewa ngono si kupendwa maana hata machangu hutoa, mi niliachana na mwanaume aliyekuwa anataka ngono akachepuka nikamwacha Mpaka Leo kachanganyikiwa papuchi ni nyingi ila yupi anafaa kuwa mke,imagine bila ngono mnaweza kupeana nini ili mfurahiane, other wise nimempenda huyo mwanamke msimamo wake dunia hii uzinzi umewekwa mbele ndo mana mkiishi mda kidogo mnakinaiana, angalia vtu vingine vya mke Mwema, kulea familia mi mwenyewe dume anayetaka ngono bila ndoa mahusiano yafe
 
Muoe uache kuzini.....unataka kila siku kwani umemuoa ...bwege we........wanaume sijui mkoje pumbavu sana
Yani anadai papuchi ka kaoa hafu akiendeleza uzinzi hapati mke roho chafu zitamvaa na kupata nuksi
 
Kwanza una miaka 34,ubabu ushakutimbia mze,haya endelea sasa kunena...
 
Back
Top Bottom