Mpenzi wangu anataka tufanye mapenzi mara moja tu kwa mwezi

Mpenzi wangu anataka tufanye mapenzi mara moja tu kwa mwezi

KIJANA2013

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
466
Reaction score
201
Habari wana JF,

Niende moja kwa moja kwenye mada husika, mimi ni kijana mwenye umri kati ya 28 hadi 34 hapo.

Nimetokea kuwa na mahusiano na mdada umri miaka 26, ninampenda na ananipenda lakini tatizo ni yeye anataka tunakutana kimwili mara moja tu kwa mwezi, mimi uwezo wangu ningependa iwe kila siku na uwezo huo ninao.

Sio kwamba hafurahii tendo lenyewe bali anasema ndivyo alivyo, kwa kweli hiyo mara moja tukikutana huwa anaitumia vizuri na mimi huwa naitumia vizuri sana kuanzia kumuandaa kisaikolojia hadi tendo lenyewe.

Sasa wana JF nisaidieni niendelee nae huku roho inateseka au nitafute mpenzi mwingine? Mpenzi atakayeweza kukidhi hitaji langu.

NB: Matusi sio ushauri
 
Habari wana JF

Niende moja kwa moja kwenye mada husika, Mimi ni kijana mwenye umri kati ya 28 hadi 34 hapo, nimetokea kuwa na mahusiano na mdada umri miaka 26, ninampenda na ananipenda lakini tatizo ni yeye anataka tunakutana kimwili mara moja tu kwa mwezi, mimi uwezo wangu ningependa iwe kila siku na uwezo huo ninao. Sio kwamba hafurahii tendo lenyewe bali anasema ndivyo alivyo, kwa kweli hiyo mara moja tukikutana huwa anaitumia vizuri na mimi huwa naitumia vizuri sana kuanzia kumuandaa kisaikolojia hadi tendo lenyewe.

Sasa wana JF nisaidieni niendelee nae huku roho inateseka au nitafute mpenzi mwingine? Mpenzi atakayeweza kukidhi hitajio langu.

NB: Matusi sio ushauri bora hivyo nisingependa matusi

Endelea tu kusaidiwa, hakuna namna, mtungi ukalia mafiga 3
 
Kwanza muoe iepuke hiyo dhambi

Kisha tendo halifanywi kwa ratiba bali hufanywa kwa hamu pale wote mnapokuwa tayar so ni bora mfurahi wote kuliko kufurah peke yako
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Mkuu nahisi nikioa nitacheat, mwezi mzima nisubiri yeye awe na hamu sitoweza kwa kweli, huo ndiyo ukweli
 
ninampenda na ananipenda lakini tatizo ni yeye anataka tunakutana kimwili mara moja tu kwa mwezi,
Ni vyema ukatambua kuwa hili Ni tatizo la kimaumbile.
Ana LOW sex drive/libido
Kwa mataifa yaliyo endelea wanatambua hili kama tatizo na tiba zake zipo.
Ila wapo wengine bila ya kutwa mara kadhaa hakuelewi.

Ufumbuzi - Ni kuongea naye kwanza.
 
Ni vyema ukatambua kuwa hili Ni tatizo la kimaumbile.
Ana LOW sex drive/libido
Kwa mataifa yaliyo endelea wanatambua hili kama tatizo na tiba zake zipo.
Ila wapo wengine bila ya kutwa mara kadhaa hakuelewi.

Ufumbuzi - Ni kuongea naye kwanza.
Mkuu nimeongea nae saaana tu
 
Wanaotaka kila siku huwa wanatoa posa na kuoa kabisa.
Wewe unapewa bure halafu unataka kumchkaza [emoji23]
Mkuu unamaanisha nikioa atabadilika na kuwa na uwezo wa kunipa kila siku? Sidhani kama kuoa ni kigezo cha kutoa au kutotoa. Hata hivyo nimeomba ushauri, je wewe ushauri wako ni upi?
 
Kwanza mapenzi nje ya ndoa ni zinaa mkuu! Fungeni kwanza ndoa na myaanze maisha ya ndoa, pengine anaogopa kufanya hivyo sabab kaona wanaume wakishapewa kabla ya ndoa mara mbili tatu wanapotea, we funga ndoa na ukishaingia kwenye ndoa ata kuwa anakupa tu bila shida,
Iwapo nikioa na akaendelea na hiyo mara moja kwa mwezi unanishauri nimuache na nioe mwingine? Vigezo vya mwanamke wa kuoa vinakuja baada ya kuoa au kabla ya kuoa?
 
Vigezo vya mwanamke vinaonekana kabla ya ndoa na ndivyo vinavyo mvutia mwanaume kuchumbia na kuoa, ila inategemeana na vigezo, kukunyima tendo sio kigezo kuwa hakupendi pengine yaweza kuwa hofu ya kuachwa kabla ya ndoa ndio maana anafanya hivyo,
Kuna uwezekano mkubwa akiingia kwenye ndoa akakutimizia sababu anakuwa hana hofu anajua yupo salama, ila mchunguze na tabia zake nyingine na ukiona haeleweki achana nae asije akakuletea shida baadae sababu hampo kwenye ndoa na utafute mwingine,
Ila hata ukimpata mwingine anaye kupenda na mwenye tabia nzuri ukiona anakunyima ujue ana hofu ya kuchezewa na kuachwa kabla ya ndoa, ndio naana wanawake wengi kabla ya ndoa ni waoga wa tendo kwa wapenzi wao,
 
Vigezo vya mwanamke vinaonekana kabla ya ndoa na ndivyo vinavyo mvutia mwanaume kuchumbia na kuoa, ila inategemeana na vigezo, kukunyima tendo sio kigezo kuwa akupendi pengine yaweza kuwa hofu ya kuachwa kabla ya ndoa ndiyo maana anafanya hivyo na kuna uwezekano mkubwa akiingia kwenye ndoa akakutimizia sabab anakuwa hana hofu anajua yupo mahala salama, ila mchunguze na tabia zake nyingine na ukiona haeleweki achana nae asije akakuletea shida baadae sabab hampo kwenye ndoa na utafute mwingine, ila hata kimpata mwingine anaye kupenda na mwenye tabia nzuri ukiona anakunyima ujue ana hofu ya kuchezewa na kuachwa kabla ya ndoa, ndio naana wanawake wengi kabla ya ndoa ni waoga wa tendo kwa wapenzi wao,
Nimekusoma mkuu
 
Back
Top Bottom