Mpenzi wangu anataka tufanye mapenzi mara moja tu kwa mwezi

Mpenzi wangu anataka tufanye mapenzi mara moja tu kwa mwezi

Mi nilikuwa naye wa hivyo ilibidi niwe natafuna kimya kimya nje yake.. kumbe alikuwa anamwa bila yeye kujua. Siku moja akaenda kutibiwa hadi hadi daktari alimuuliza kama huwa anapata ham ya tendo la ndoa.... baada ya matibabu angalau siku hizi kabadilika naona mwenyewe ananitafuta
 
Teh, daktari alisema anaumwa nini mkuu?
 
  • Thanks
Reactions: lup
Teh, daktari alisema anaumwa nini mkuu?
Alikuwa na uvimbe ila uzuri aliwahi maana aliabiwa kama dawa isipoponesha itabidi afanyiwe opareshen. Ila dawa ilitosha
 
Kwanza muoe iepuke hiyo dhambi

Kisha tendo halifanywi kwa ratiba bali hufanywa kwa hamu pale wote mnapokuwa tayar so ni bora mfurahi wote kuliko kufurah peke yako
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Huyo hafai kuoa,
Atakuwa hivyohivyo hata akiolewa
 
Mkuu nahisi nikioa nitacheat, mwezi mzima nisubiri yeye awe na hamu sitoweza kwa kweli, huo ndiyo ukweli
Mapenzi ni uvumilivu, kama huna uvumilivu basi hakuna mapenzi,, na ungefanya busara sana iwapo ungemuuliza why anafanya ivo (i mean hiyo ratiba once per month) ili ufahamu lengo lake ndipo unaweza fanya uamuzi umuache ama she can be your wife kabisaaa
 
Watu wanavyoshauri habari za kufunga ndoa utadhani wao hawajawahi kut.omba au ku.tombwa kabla ya ndoa.

Ndio maana humu mtu akisema kapata mchumba tunashangaa.
We are not real na uhalisia wetu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom