Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Jirani kwa kifupi ni kwamba huyo ana mume wake wewe ni mchepuko tu kwa hiyo hataki ummalizie nguvu za kukutana na mume wake!!
sawa nkuuAcha uzinzi oa mkuu
nahisi hivyo jiraniJirani kwa kifupi ni kwamba huyo ana mume wake wewe ni mchepuko tu kwa hiyo hataki ummalizie nguvu za kukutana na mume wake!!
"anasema ndivyo alivyo" kaka unaibiwa, unaibiwa , UNAIBIWA.Habari wana JF
Niende moja kwa moja kwenye mada husika, Mimi ni kijana mwenye umri kati ya 28 hadi 34 hapo, nimetokea kuwa na mahusiano na mdada umri miaka 26, ninampenda na ananipenda lakini tatizo ni yeye anataka tunakutana kimwili mara moja tu kwa mwezi, mimi uwezo wangu ningependa iwe kila siku na uwezo huo ninao. Sio kwamba hafurahii tendo lenyewe bali anasema ndivyo alivyo, kwa kweli hiyo mara moja tukikutana huwa anaitumia vizuri na mimi huwa naitumia vizuri sana kuanzia kumuandaa kisaikolojia hadi tendo lenyewe.
Sasa wana JF nisaidieni niendelee nae huku roho inateseka au nitafute mpenzi mwingine? Mpenzi atakayeweza kukidhi hitajio langu.
NB: Matusi sio ushauri bora hivyo nisingependa matusi
Mkuu nakuaminia kwa ushauri wenye maamuzi magumu, shukrani mkuu"anasema ndivyo alivyo" kaka unaibiwa, unaibiwa , UNAIBIWA.
Huyu kuna mahali anatoa anapata raha kiasi kwamba wewe anaona huna ishu. Au anaona poa kukuganyia hivyo maana kwake uhemi , kwamba anweza kukufanya lolote na usimwambie kitu.
La kufanya, zungumza nae ,mchane ukweli kuwa hiyo hali haikupendezi , au kama anashida nyingine uitatue ... ila akikataa kuonyesha ushirikiano.. muonyeshe kwamba hayuko peke yake...
Daaaaaah nahisi hivyoSiku zingine anapeleka kwa wengine mkuu
Kwanza muoe iepuke hiyo dhambi
Kisha tendo halifanywi kwa ratiba bali hufanywa kwa hamu pale wote mnapokuwa tayar so ni bora mfurahi wote kuliko kufurah peke yako
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Wako kwenye vipindi vya darasanKwanza muoe iepuke hiyo dhambi
Kisha tendo halifanywi kwa ratiba bali hufanywa kwa hamu pale wote mnapokuwa tayar so ni bora mfurahi wote kuliko kufurah peke yako
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Mkuu unafanya kazi masaa 24? Ubusy mwisho saa 11 jioni, au wewe nae uko na tatizo la mwezi mara moja unasingizia ubusyKufanya kila siku hauna kazi za kufanya za kukukeep busy sometime?
Labda kama unashinda ofisini na kutoka saa 11,wengine alfajiri majogoo tupo porini kukata miti na mkaa ukitoka hapo kutembea kama center bolt imekatika majogoo mpaka mida ya wanga hapo Kei utaiwazia wapi?Mkuu unafanya kazi masaa 24? Ubusy mwisho saa 11 jioni, au wewe nae uko na tatizo la mwezi mara moja unasingizia ubusy
Pole,tafuta mwingineHabari wana JF,
Niende moja kwa moja kwenye mada husika, mimi ni kijana mwenye umri kati ya 28 hadi 34 hapo.
Nimetokea kuwa na mahusiano na mdada umri miaka 26, ninampenda na ananipenda lakini tatizo ni yeye anataka tunakutana kimwili mara moja tu kwa mwezi, mimi uwezo wangu ningependa iwe kila siku na uwezo huo ninao.
Sio kwamba hafurahii tendo lenyewe bali anasema ndivyo alivyo, kwa kweli hiyo mara moja tukikutana huwa anaitumia vizuri na mimi huwa naitumia vizuri sana kuanzia kumuandaa kisaikolojia hadi tendo lenyewe.
Sasa wana JF nisaidieni niendelee nae huku roho inateseka au nitafute mpenzi mwingine? Mpenzi atakayeweza kukidhi hitaji langu.
NB: Matusi sio ushauri
Kwann unatembea na Mzee?Habari wana JF,

Angekuwa mkeo ningekuwa na neno. Kwa kuwa ni mpenzi, endeleeni na ratiba hiyo hiyo. Tena mshukuru. Mwingine angekwambia subiri had ndoa[emoji124] [emoji124] [emoji124]Habari wana JF,