Mpenzi wangu anataka tufanye mapenzi mara moja tu kwa mwezi

Mpenzi wangu anataka tufanye mapenzi mara moja tu kwa mwezi

Habari wana JF,

Niende moja kwa moja kwenye mada husika, mimi ni kijana mwenye umri kati ya 28 hadi 34 hapo.

Nimetokea kuwa na mahusiano na mdada umri miaka 26, ninampenda na ananipenda lakini tatizo ni yeye anataka tunakutana kimwili mara moja tu kwa mwezi, mimi uwezo wangu ningependa iwe kila siku na uwezo huo ninao.

Sio kwamba hafurahii tendo lenyewe bali anasema ndivyo alivyo, kwa kweli hiyo mara moja tukikutana huwa anaitumia vizuri na mimi huwa naitumia vizuri sana kuanzia kumuandaa kisaikolojia hadi tendo lenyewe.

Sasa wana JF nisaidieni niendelee nae huku roho inateseka au nitafute mpenzi mwingine? Mpenzi atakayeweza kukidhi hitaji langu.

NB: Matusi sio ushauri
Nijibu hili swali ili nikushauri.

Ww ndiye uliyemtao bikra au ulimkuta tobo wazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kama ni dhambi karibu wote humu wana jf hiyo dhambi tunayo, hakuna anaeoa/anaeolewa bila kujua huyu mwenzangu yuko vipi ndani na nje, na wengine mpaka mwanamke abebe mimba ndio ndoa inafungwa,,, so tulia and make a good choice usijutie badae coz kama ni dhambi ushafanya
 
Maswala yakupangiana ratiba sio mazuri lakini!!! Mme au mke mda wowote anapobanwa!!! huna budi kumuachia.
wengine huishi kwa standard, wote wafanyakazi wanachoka wanaweza kukubaliana hii kitu weekend not working days,, japo kweli haina ratiba inawezatokea katikati hapo bt sio kila siku aisee
 
wengine huishi kwa standard, wote wafanyakazi wanachoka wanaweza kukubaliana hii kitu weekend not working days,, japo kweli haina ratiba inawezatokea katikati hapo bt sio kila siku aisee
hahahaha aise ndomana ndoa nyingi za kisomi huwa hazidumu, full kuwekeana vikwazo na masharti. Kila mmoja msomi na kila mmoja unajua zaidi ya mwenzie
 
hahahaha aise ndomana ndoa nyingi za kisomi huwa hazidumu, full kuwekeana vikwazo na masharti. Kila mmoja msomi na kila mmoja unajua zaidi ya mwenzie
kudumu na kutodumu kwa ndoa haijalishi msomi ama si msomi, kutodumu ni kufanya yale ambayo hamjakubaliana, ni kufanya yale yaliyokinyume na mwenzio but itadumu kwa makubaliano na kupendezana kwa yote waliyopanga since upendo upo,,
 
Lakini pamoja na yote hayo ndoa lmebebwa na tendo Mkuu!!! Bila tendo hakuna ndoa. Why tupeane kwa masharti Fulani wakati iyo ndo sababu ya kuu ya ndoa
 
Amekuona GoiGoi,anatafunwa na mtu anaemsulubu kwelikweli,anataka awe anapona unampandisha wenzio wanamaliza
 
Lakini pamoja na yote hayo ndoa lmebebwa na tendo Mkuu!!! Bila tendo hakuna ndoa. Why tupeane kwa masharti Fulani wakati iyo ndo sababu ya kuu ya ndoa
sawa iko ivo ila kwa uelewa wangu upendo ndo jambo kubwa hapo,,, mmoja akisafiri kama upendo upo atasubiri kwa upendo, kama ni tendo kwanza inamaana hapo watachepuka sana sababu ya kuendekeza tendo badala ya upendo.
 
Inawezekana anafanya yote hayo kwa sababu ujamuoa fanya mchakato uoe kijana hapo sasa ndio uje useme anakuwa mara ngapi kwa mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom