Mpenzi wangu anataka tufanye mapenzi mara moja tu kwa mwezi

Mkuu tatizo lako niliwahi kuwa nalo pia, Ingawa mie sikuwahi kuliwazia kama wewe sababu before hajakubaliana nami kuwa wapenzi alikataa tusikutane kimwili hadi ndoa na ndoa ilichukua mda mrefu ivo nikajikuta nashindwa uvumilivu nikamweleza akanielewa hapo mahusiano yana miaka3, hivyo katika miaka2 tuliyoishi badae kukutana kwetu nahisi hakukuzidi mara 6. But After Ndoa mambo ni mazuri tu so zingine huwa ni hofu kwa mdada anaejielewaa.
Jibu sahihi ni ndoa full stop.
 
Na vipi ukimuoa akaendelea kukunyima papa?
Utampa talaka au utamfanya nini?
Kuoa ni ushauri uliotolewa na wengi hapa lakini kimsingi sidhani kama ni best option, tunaweza funga pingu za maisha then matatizo yakazidi.
 
Mkuu tatizo lako niliwahi kuwa nalo pia, Ingawa mie sikuwahi kuliwazia kama wewe sababu before hajakubaliana nami kuwa wapenzi alikataa tusikutane kimwili hadi ndoa na ndoa ilichukua mda mrefu ivo nikajikuta nashindwa uvumilivu nikamweleza akanielewa hapo mahusiano yana miaka3, hivyo katika miaka2 tuliyoishi badae kukutana kwetu nahisi hakukuzidi mara 6. But After Ndoa mambo ni mazuri tu so zingine huwa ni hofu kwa mdada anaejielewaa.
Jibu sahihi ni ndoa full stop.
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako, lakini nikueleze kitu kimoja, huwezi kuta situation ya aina moja kwa watu wawili tofauti. Nitolee mfano machafuko yanayoendelea sasa hivi duniani sehemu mbalimbali. Huwezi chukua situation ya Congo DRC ukaitafutia solution kwa situation ya Syria. Yote ni machafuko. Naamini kabisa wewe hali imebadilika kwa huyo shemeji yetu baada ya kuoa lakini the same scenario inaweza ikawa kuoa sio solution. All in All mkuu nimeupokea ushauri wako na naufanyia kazi.
 
Saa nyingine huwa nashangaa sana yaani hivi inakuwaje mwanamke hujamchumbia na hata huna mipango naye eti unataka umle kila siku. Lol.

Muweke ndani uone kama atakupangia yaani kila wakati ukitaka utapewa. Koh koh.
 
Sawa
 
Habari wana JF,

Niende moja kwa moja kwenye mada husika, mimi ni kijana mwenye umri kati ya 28 hadi 34 hapo.

Nimetokea kuwa na mahusiano na mdada umri miaka 26, ninampenda na ananipenda lakini tatizo ni yeye anataka tunakutana kimwili mara moja tu kwa mwezi, mimi uwezo wangu ningependa iwe kila siku na uwezo huo ninao.

Sio kwamba hafurahii tendo lenyewe bali anasema ndivyo alivyo, kwa kweli hiyo mara moja tukikutana huwa anaitumia vizuri na mimi huwa naitumia vizuri sana kuanzia kumuandaa kisaikolojia hadi tendo lenyewe.

Sasa wana JF nisaidieni niendelee nae huku roho inateseka au nitafute mpenzi mwingine? Mpenzi atakayeweza kukidhi hitaji langu.

NB: Matusi sio ushauri
Hujajitosheleza kwenye Maelezo yako mkuu,mpenzi huyu huko mbali mkoani,anishi kwako au unaishi nae Chumba kimoja au vipi.Utatusaidia tukupe majibu mazuri
 
Mkuu naishi nae mkoa mmoja, wilaya moja tofauti ni mtaa tuuu lakini huwa tunajitahidi kila kuonana, kama nilivyoeleza hapo juu kuwa nampenda na yeye ananipenda. Nadhani kwa kiasi flani nimekupa mwanga wa maswali yako hivyo nasubiri ushauri wako mzuri mkuu
 
Asante mkuu.Kwanza ujue kama yuko kwao anakuja kwako kupata furaha ya moyo wake kwa kutoroka toka kwenye himaya inayomtunza aiza wazazi au ndugu anaoishi nao.Kwa hiyo usihuzunike bro,yeye ukishampa dozi mwili umetosheka,mpaka umuwashe tena inachukua MUDA mrefu.Sio wanawake wote wanapenda sex kila saa au siku,haya wake zetu sisi tulioa wakati mwingine anakulizisha tu kuepuka lawama lakini hana hamu,akiwa na hamu haya mapokezi ukitoka kibaruani utamgundua tu kuwa hapa Leo kuna mechi,na kama ulichepuka siku hiyo singizia kuumwa upate panadol mana hutakizi vigezo.Narudi kwako mkuu ,mvumilie hiyo binti inavyooshesha anakupenda na anakujali mana hiyo kutoroka kwako kukuletea Shamba ulime kwa mwezi ni staha tosha,kama unania njema nae jitokeze kwako uanze taratibu za kusogeza jiko,maana halo mtapata kucheza mechi mtakavyo haya kama amechoka utapewa,ila ujifunze kumsoma mwenzio kama yuko kwenye hali ya kucheza mechi,wanaume tulio wengi hatujui hili.Asante mkuu,MPE MUDA BINTI anakutunzia ili uje kula vizuri
 
Mkuu umetoa ushauri wa kujenga, ahsante sana mkuu, ubarikiwe
 
Back
Top Bottom