Bengazuu
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 1,029
- 1,235
Yaap!!! Karibu pmnyama choma au
Yaap!!! Karibu pmnyama choma au
Tehe tehe......Huwa humnunulii nyama hasa nyama choma so anafikisha ujumbe kwa hisia mno
ya kuku, bata, ng'ombe au mbuzi???Yaap!!! Karibu pm
Panya mkuuya kuku, bata, ng'ombe au mbuzi???
sawaPanya mkuu
Hyo tabia ipo sana kwa watumiao vilevi,hvyo chunguza kwanza kama anatumia vileo vyovyoteNatumaini ni wazima,
Nina mpenzi wangu ni mzuri tuu ila usiku ndiyo ananiogopesha sana. Kuna siku aliomba kuja kulala kwangu mie nikamkubali ila cha kushangaza usiku wa manane nikashituka nikakuta anatafuna meno. Yaani kama kuna vitu anatafuna hivi na meno yanakuwa yanakuwa yanatoa sauti tu.
Sasa nilikuwa naomba mwenye tiba au mwenye kujua njia ya kuyazuia au kuzuia hii tabia maana hadi saizi naogopa sana kulala naye tena na nilitest mara tatu nikagundua ndivyo alivyo.
Msaada tafadhali
Aliomba kuja kulala kwako kwani kwao hakuna vitanda?kisha wewe kabisa ukamuacha alale fofofo akitafuna meno badala umuonyeshe tofauti ya kulala kwao na kulala kwa mwanaume,sometimes hakuridhika akafanya makusudi ili uamke ushughulike..mkuu next time akija mning'inize kisawa sawa kulala akalale kwao.
Huwa humnunulii nyama hasa nyama choma so anafikisha ujumbe kwa hisia mno
Natumaini ni wazima,