Mpenzi wangu ananitukana sana!

Mpenzi wangu ananitukana sana!

Marisa k

New Member
Joined
Nov 25, 2018
Posts
4
Reaction score
14
Habarini wapendwa. Nina jambo linaniumiza sana naombeni ushauri. Ninaishi na mwanaume mwaka wa pili sasa unaenda.

Naombeni msinihukumu kwanini naishi bila ndoa, nilipitia changamoto kubwa sn mpaka kufikia kukosa mahali pa kuishi huko nyuma kwahiyo kimbilio likawa kuishi na mpenzi wangu.

Tatizo sikuhizi ananitukana sana matusi ya nguoni. Yaani kosa dogo utasikia we mse*, wewe na mengine makubwa zaidi. Mbaya zaidi wakati mwingine ananitukana mbele za watu yani navumilia mpaka nachoka sasa.

Naombeni ushauri wa mawazo nifanyeje. Plz msinikejeli. Natamani sana kuondoka lakini kwasasa sina pa kwenda, nimemaliza chuo juzi nasubiri angalau nipate neema ya kazi ndo nitaweza kuondoka ila kwasasa nishaurini tu
 
Bado kijana mdg usiogope kuondoka hapo kwani kabla hujamfahamu ulikuwa unaishi vp?..ukikaa miaka miwili hujapata kazi je?
 
vumilia tu maana ndo maisha yalivyo
 
Anakunyanyasa hivyo maana anajua huna kwa kwenda pia kakuchokaa na kachoka kukubebaa..! Kwa kuwa umemaliza chuo sidhani kama huna ndugu kabisaa yani... tafuta hata ndugu wa kike mwambie hilo tatzo muombee akuhifadhi huku unajipanga...!
 
Huna kwenu? Umeshajiuliza utaendelea kudharaulika had lini???

Ng'ombe akivunjika mguu malishoni hurejea zizini na mchuma janga hula na wa kwao, ushalichuma nenda tu nyumban angukia wazaz wakusamehe pengine hiyo kaz usipate

Ushaonekana huna pa kwenda hapo ndio imefika kwan umefanya janga kwenu had ushindwe kurudi??

Halaf unajua kama kaz ni ngumu kupata sasa hivi? Kama hujui ni vyema ujue sasa

Rudi kwenu.
 
Pole dada ,
Jaribu kuongea nae mwambie akikutukana unakwazika, ujue sometimes vijana kwao neno kama ms**ng, k*ma, ni maneno ya kawaida wakiwa wanapiga story so inawezekana maneno hayo ya kijiweni anayaleta na nyumban....
Ongea nae kwanza kiustaarab dada.
 
Aisee kama unampenda mtu wako huwezi muita we msen....!
 
Mapenzi kitu Cha ajabu sana,tunaweza kukupa ushauri mwisho wa siku ukiwa chumbani na mpenzi wako wakati wa chakula Cha usiku ukaanza kumwambia mpenzi wako tunataka kuvuruga pendo lenu,pambana hali yako tu mkuu.
 
Pole dada ,
Jaribu kuongea nae mwambie akikutukana unakwazika, ujue sometimes vijana kwao neno kama ms**ng, k*ma, ni maneno ya kawaida wakiwa wanapiga story so inawezekana maneno hayo ya kijiweni anayaleta na nyumban....
Ongea nae kwanza kiustaarab dada.
huwez kunitukana matusi mazito unambie ni maneno ya kawaida asee

Matusi yatabaki kua matusi haijalishi ni kubwa au dogo baya au la kawaida ni tusi na s vyema kumtukana mpenzio matusi hivo tena mbele za watu

Akufukuzae amhakwambi toka huyo anafukuzwa lakini mwenyewe haoni
 
Anakunyanyasa hivyo maana anajua huna kwa kwenda pia kakuchokaa na kachoka kukubebaa..! Kwa kuwa umemaliza chuo sidhani kama huna ndugu kabisaa yani... tafuta hata ndugu wa kike mwambie hilo tatzo muombee akuhifadhi huku unajipanga...!
kwa hali iliyopo ya sasa ni vyema arudi nyumbani afajye michakato ya kaz akiwa nyumbani, anakua na uhakika wa kula hata mlo mmoja lakini wa amani sio wa manyanyaso na matusi mbele za watu
 
Nin
Huna kwenu? Umeshajiuliza utaendelea kudharaulika had lini???

Ng'ombe akivunjika mguu malishoni hurejea zizini na mchuma janga hula na wa kwao, ushalichuma nenda tu nyumban angukia wazaz wakusamehe pengine hiyo kaz usipate

Ushaonekana huna pa kwenda hapo ndio imefika kwan umefanya janga kwenu had ushindwe kurudi??

Halaf unajua kama kaz ni ngumu kupata sasa hivi? Kama hujui ni vyema ujue sasa

Rudi kwenu.
Ningekua na kwetu ningesharudi sikunyingi tu navyokwambia sina pa kwenda niamini ni vile tu siwezi kuweka wazi kilakitu humu
 
anayekufukuza akwambii toka kwa hiyo utoke hapo rudi kwenu au tfuta ndugu ukae kwake
Habarini wapendwa. Nina jambo linaniumiza sana naombeni ushauri. Ninaishi na mwanaume mwaka wa pili sasa unaenda. Naombeni msinihukumu kwanini naishi bila ndoa, nilipitia changamoto kubwa sn mpaka kufikia kukosa mahali pa kuishi huko nyuma kwahiyo kimbilio likawa kuishi na mpenzi wangu. Tatizo sikuhizi ananitukana sana matusi ya nguoni yani kosa dogo utasikia we mse*, we ni kum* tu, kum* la mamayako, we matak*, mbaya zaidi wakati mwingine ananitukana mbele za watu yani navumilia mpk nachoka sasa. Naombeni ushauri wa mawazo nifanyeje. Plz msinikejeli. Natamani sana kuondoka lakini kwasasa sina pa kwenda, nimemaliza chuo juzi nasubiri angalau nipate neema ya kazi ndo nitaweza kuondoka ila kwasasa nishaurini tu
 
Back
Top Bottom