haamki wewe nan kasema hawez kuamka iyo no si ameanzisha lazima alinywe ndo nasubilia mwisho wake utakuwaje ..We nenda tu kwa huyo mganga wako kisha mganga anachanganya madesa alaf ww ndo unakua huamshi jogoo, ukimfata siku ya pili unaambiwa mganga kafariki.
Nimeshindwa kuelewa ulicho andika hapo juu.. ila na assume umeandika "sawa sitoenda kwa mganga"haamki wewe nan kasema hawez kuamka iyo no si ameanzisha lazima alinywe ndo nasubilia mwisho wake utakuwaje ..
cc mzurmie .Kwanini mkeo amempa nafasi ya kuwasiliana nae? Jiulize kwanza mkeo anakosa gani kumkatibisha na kumpa uhuru na labda kasema mengi mabovu juu yako kwa huyo au labda kaomba omba na pesa juu kuwa ana shida
Huyo ni heathen ledger marehemu, hana chochote kuhusiana na giza. Ukiamini giza umepotea ndugu yangu, fanya utafiti maisha ya watu wanao amini kwenye giza kisha njoo unipe feedback.we mwenyewe nashangaa profile picture yako .
iyo unasadifu kuwa unaamin giza hata wewe
feedback najua yote kuhusu maisha yao .Huyo ni heathen ledger marehemu, hana chochote kuhusiana na giza. Ukiamini giza umepotea ndugu yangu, fanya utafiti maisha ya watu wanao amini kwenye giza kisha njoo unipe feedback.
Ulozindo umeandika nini hapo