leo kuna jamaaa alikuwa anamsumbua wife kiufupi hajui kujieleza maanake yeye mara amwambie anataka amtoe out weekend hii sasa tena anamtaka aende night club muda huu wa usiku so wife kaniambia jamaa nikampiga beat japokuwa yeye ni mtu mzima sana lakini ndo ivo kanitishia ooo halafu yupo kwenye ulevi ...sasa unajua sie wengine ni hatari sana mie nimeishi sumbawanga kigoma nagamoyo so najua changamoto nyingi za maisha za watu wanaojitoa ufahamu wakungangania mapenzi hapa jamaa akijiingiza kwenye mkenge wa vurugu na mimi nina solution mbili moja ni (1) kumpeleka polisi (2) akiwa kichwa ngumu ni kumloga asiinuke tena maishani ....MAISHA NI MAPAMBANO HAPA NDIO NAMTULIZA .
JE...MAONI YENU YAP KUHUSU WATU KAMA HAWA WASUMBUFU TENA WANAKUTISHIA ...USHAUR WENU JAMAAAN