Mpenzi wangu ananitishia

Mpenzi wangu ananitishia

tatizo umekuwa mjin ila kiukwel uchaw upo wakat nipo mdogo .
.yaaan walikuwa wanakabwa sana ndugu wanalia had kulia .
.usipime unajua siku hiz imepungua sana

Hamna uchawi wala nini. Ni simulizi za kutisha wajinga wajinga tu.
 
Wewe Mke Wako Ulimtolea Mahari ya Jasho lako, Ama umepewa Msaada?
ndugu wewe aaaa we freemason nin bado sijatoa umeotea pale pale ndoa ya kienyeji siunajua tena ...
 
wivuuuu unakusumbua huna lolote
we mtu wako inauma hiv ukikumbuka saut ake halafu ukajua kuwa kuna mtu mwingine inauma ...unajua mapenzi wewe lazima yaana hata kama mtu kachelewa we unajikuta roho juuuu juuuu .... nakumbuka niliteseka mimi wakati niko chuo duuu nilikuwa mshamba wa mapenzi
 
Kurogana mambo ya kizaman ivi kwa maisha aya ya magu yalivyo magum bado to una ham ya kuroga
watu wengine wabaya yaaan we acha tu yaaaan unakuta anakutafuta maisha yako .

so akuanzaye mmalize
 
  • Thanks
Reactions: irk
Hamna uchawi wala nini. Ni simulizi za kutisha wajinga wajinga tu.
ngoja kunaa siku uamini ....nenda muda huuu makaburi yeyote katiza pale katikati .....au nenda baharini usiku huuu
 
ndio haupo ila upo ndugu labda kama una yule nabii jesus inabid uamin haupo ila upo sema ni ngumu kujua kama sio mtafit au mtafuta neno la Mungu na pesa
Yesu hakusema hakuna uchawi bali ametoa mamlaka juu ya hivyo vitu.
Bible ktk kitabu cha Walawi inasema usimwache mwanamke Mchawi aishi so uchawi upon ktk Biblia kuna matukio mengi yanayothibitisha uwepo wa uchawi na ushirikina. Kwanini Bible unakatadha kupiga ramli kama havipo?
 
umechimba nondo hizo mpaka upako ...gud kwa andiko lako
 
Mwanaume Unahtaji Hekima na Akili Nyingi Kuishi na Mwanamke.

Hivi Mwanaume unaejua Maana ya Mke huyo Jamaa kumpigia Simu na Kumweleza Kuwa anahtaji kutoka Wewe unahisi Ndo Mara ya Kwanza, Na Kama Walikuwa ni Watu uhusiano wa Heshima iweje huyo Jamaa amtake Usiku huu ili Hali akijua ni Mke wa Mtu, Wewe ulikuwepo ulikuwepo Siku wanapeana Namba za Simu? Na Wewe unahisi mkeo huwa anakwambua yote haswa ya Wale Wanaume aliowahi kuwapendi ila Kwa Bahati Mbaya hakupata nafasi kuishi ya Kuishi Nao Kama Mke na Mme.

Kimsingi huyo Jamaa ni Msatarabu ingekuwa Mimi,,,,,, ningekwambia Njoo Wewe Badala ya Huyo Mkeo Niku...........................???
 
ayaaaa we jamaaaa hivi unajuaaaa kuwa bora unipige risas ya mguu ila sio kuchapiwa ....halafu nikajua

kulogwa mtu ndo huku unakosema wewe kwa kauli kama hiz ....okay ..m
 
kwan mbona unashangaa ndoa makubaliano ya watu wawili ...so mahali ntatoa mdogo mdogo kwan haujawah kuona
Kumbe ndo upo kwenye makubaliano bas fanya fast jamaa atakuwai ila angalia mwelekea wa dem upo wap kwako au kwa jamaa usije jinyonga bule
 
Kumbe ndo upo kwenye makubaliano bas fanya fast jamaa atakuwai ila angalia mwelekea wa dem upo wap kwako au kwa jamaa usije jinyonga bule
huyu mke kabisa nimemtoa mbali sana ... sema hapa ngoja nimpe mtoto fasta ...ili wasiwe wanamsumbua
 
umechimba nondo hizo mpaka upako ...gud kwa andiko lako
Umesahau Musa na Wachawi wa Misri kubadili fimbo kuwa nyoka? The only difference ni nyoka wa Musa aliwameza wale wa Wachawi kuonyesha tu Mungu ni zaidi lakini mtihani wote walifaulu sema Musa alipata 'A' Wachawi wakapata 'B' so uchawi upo.
 
Back
Top Bottom