Mpenzi wangu ananishauri nitoe mimba, hana uwezo wa kulea

Mpenzi wangu ananishauri nitoe mimba, hana uwezo wa kulea

Lea mimba lea mtoto wako ndo ndugu yako huyo, mimi nilikimbiwa na daktari nikiwa na mimba ya miezi 2 huku na huku akaja kuoa mdada mwingine mtoto akiwa na miezi 8, sijawahi onana nae wala kuwasiliana na yeyote kati yao kwao kuanzia mama yake dada zake baba zake, nimepambana mpaka sasa mtoto anasoma chekechekea nalipa ada million 1.3 kwa mwaka na tunafuraha sana nikiwa na huzuni huwa ananiuliza "mama aumwa? Akiamka anasema mama napenda wewe, naenjoy sana.
Bado sijapata mwanaume kwa maisha yangu sasa hivi kila mwanaume mbaba anamuita baba, najua ipo siku nitapata mume na tutakuwa familia bora tu.
Nilipitia mengi sana kudharauliwa, kusemwa kusimangwa kisa tu nimepata nimba na mtoto kabla ndoa ila sasa hivi wao ndiyo wanaona aibu

Dada kaza moyo usitoe mimba utazaa salama ba mtoto atakua na mtakuwa na furaha na amani

Nichek PM
 
Wakati mwingine nashindwa kushangaa! Watu wametongozana, wamegegedana bila kinga kwa staili zao zote, kama vile kifo cha mende, mbuzi kagoma kwenda, chuma mboga nk, bila kuja kuomba ushauri wowote ule hapa kundini. Sasa mimba imetunga, mtu anakurupuka kuja kuomba ushauri hapa.

Ushauri wangu: Hongera kwa ujauzito, maamuzi ya nini ufanye ni yako wewe mwenyewe.
 
Nina wasiwasi na muonekano wako utakuwa jau jau tu 🤣🤣🤣!

Yani hadi dereva bajaji akutolee mbavuni ina maana una sura private mgongo ubao. Anaogopa kuharibikiwa CV yake 😆! Chamsingi we lea tu mtoto mwenyewe maana huenda usipate tena hata mtu wa kupasha nae kiporo. Hujiulizi ilikuwaje ukaachwa ghafla bin vu?
 
Nina wasiwasi na muonekano wako utakuwa jau jau tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!

Yani hadi dereva bajaji akutolee mbavuni ina maana una sura private mgongo ubao. Anaogopa kuharibikiwa CV yake [emoji38]! Chamsingi we lea tu mtoto mwenyewe maana huenda usipate tena hata mtu wa kupasha nae kiporo. Hujiulizi ilikuwaje ukaachwa ghafla bin vu?
Wewe kaka Mimi sio mbaya hata kidogo, Kama shape ninayo Tena mashaAllah na ndo hiyo dereva bajaji ananipenda Sana....
Kusema ukweli Mimi nilimwambia tutumie Kinga akakubali....hee tunafika kwenye kageto kake...Nikashangaa mtu kachomeka, Ila tumepima wote tupo fresh.

Sura yangu sio private I am a beautiful lady. Dereva bajaji hakua my type na he is not my type.. ILIKUA NYEGE TU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi nipe kidogoooo....inanikosha mikogoo....umefungasha mzigooo 😋😋😋 in Ben Pol vocal!

Cha kufanya unakijua, tukutane P.M tafadhali!!!😍😍😍
 
Basi nipe kidogoooo....inanikosha mikogoo....umefungasha mzigooo [emoji39][emoji39][emoji39] in Ben Pol vocal!

Cha kufanya unakijua, tukutane P.M tafadhali!!![emoji7][emoji7][emoji7]

We jamaa chenga sana, yaani umemkandia kwanza ili kumshusha thamani.... bibie kajaa kingi sasa kiulaini aje kuprove [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wewe kaka Mimi sio mbaya hata kidogo, Kama shape ninayo Tena mashaAllah na ndo hiyo dereva bajaji ananipenda Sana....
Kusema ukweli Mimi nilimwambia tutumie Kinga akakubali....hee tunafika kwenye kageto kake...Nikashangaa mtu kachomeka, Ila tumepima wote tupo fresh.

Sura yangu sio private I am a beautiful lady. Dereva bajaji hakua my type na he is not my type.. ILIKUA NYEGE TU

Sent using Jamii Forums mobile app

Haya maneno matupu hayana ushawishi wowote bali porojo tu, hebu tupia kapicha piyemu ili tumkomoe huyu Tomasso Extrovert.
 
mlipokuwa mnakatuana, mlitushilikisha! nendeni mkajadili na huyo jamaa! tambua kwamba, wewe wazazi wako wangekutoa, ungepata wapi jeuri ya kuja hapa jf.. sijui kwanini huwa nawaona wanawake ni makatili sana, anyway, hayo ni yangu! yawezekana, mtazamo wangu ni tofauti na wengine!
 
Back
Top Bottom