Hahahaha...yaaani unaiombea kufia leba...sitakufa Bali ntaishi Kuona kizazi changuKamwene!! 29yrs hujui anko anaingiaje hebu acha masikhala ujue lete shavu nikuzabe kibao cha uvivu hwaaaaa! Shenxi kabisa.
Utoe mimba ili iweje ulijua hataki mimba ukampa kimeng'enyo chako tena peku na yeye hataki mimba peku wajinga *kabisa* harafu mnaleta umama huku.
Napaza sauti hakuna kutoa mimba ni kuzaa tu subiri ukafie leba hahhaha harafu ole wako nikuzalishe mie
Hehehehe
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]Mjinga mwenyewe...Tena Ukome
Watoto ni hazina mbinguni nipe imlee awe wakwanguMimi nina Mika 29 ninafanya kazi nzuri tu. Ila sasa nikawa sinamtu mda mrefu nikajikuta natuliza miwasho kwa Dereva mmoja wa bajaji.
Sasa swala linakuja kuwa tumedumu kwa muda wa mwezi na Sasa nimegundua ni mjamzito wa week mbili. Kwanzia mwanzo kabisa siku ya Kwanza aliniambia usije beba mimba yangu kua hawezi kulea Saiv.
Nimemwambia juu ya ujauzito anasema nitoe yeye hataki kulea kwani anamtoto mmoja na anashindwa kuhudumia....
Je mnanishaurije?
Haya.ninaeWewe chagua anae jua majukumu...Ila kwa taarifa yako tumeshakubaliana tumepima na we are good, So hata yeye Anajua majukumu yake
Haya mama nimekoma sirudii tena 🙂 NIMEKOMAMjinga mwenyewe...Tena Ukome
Sina magonjwa nimepima... Kingine kinachokuumiza kichwaduh mahusiano ndani ya mwezi na mimba juuu......dada hujielewi kabisa....naamini una elimu nzuri tuu lakini kichwani ni kokwa bovu......hata ndomu hujui kuvaaa.....huogopi magonjwa........ila huyo dogo wa bajaj nimempenda sana.....kakwambia ukweli kabisa.......kama unampenda huyo jamaa, ongea nae kwa dhati.....ila mimba usitoe dada.....kumbuka mwenye mimba ni wewe sio yeye.....yeye asikushauri ujinga......
mimba kuingia ni sekunde tu cha muhimu ni kuilea mtoto azaliwe mungine tusimuhukumuUjue hata kutoa ushauri inategemea na mshauriwa yukoje ufikiri wake.
1) Ni dereva bajaj (Probably younger than you) , na keshasema kabisa uwezo wa kulea hana na hataki kuwa na mtoto na wewe. What the hell were you doing with him in the first place??? Hivi watoto mnawachukuliaje? Like unaeza beba na kutoa tu mimba? Kwa starehe ya week mbili?
2) Wiki mbili uko na mtu ambaye anapitisha tu mda, na mimba ukabeba?
Kama maneno ya bwana wako dereva bajaj hukuyasikiliza, utakuja kutusikiliza sisi?
kichwa kiniume sababu ya ukahaba wako....tunza mimba wewe....Sina magonjwa nimepima... Kingine kinachokuumiza kichwa
Mimba umebeba wwe maamuzi ni yako ,kusuka au kunyowa!Mimi nina Mika 29 ninafanya kazi nzuri tu. Ila sasa nikawa sinamtu mda mrefu nikajikuta natuliza miwasho kwa Dereva mmoja wa bajaji.
Sasa swala linakuja kuwa tumedumu kwa muda wa mwezi na Sasa nimegundua ni mjamzito wa week mbili. Kwanzia mwanzo kabisa siku ya Kwanza aliniambia usije beba mimba yangu kua hawezi kulea Saiv.
Nimemwambia juu ya ujauzito anasema nitoe yeye hataki kulea kwani anamtoto mmoja na anashindwa kuhudumia....
Je mnanishaurije?
Yaani kuna wanawake hawana uwoga na ngoma kabisa!Kuanza tu na kugongwa pekupeku.