Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,695
- 126,509
Uufute wa nini? Au ilikuwa chai shoga yangu...Yaaani imebidi nicheke tu. Natamani kuufuta huu uzi..ila ndo nashindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Uufute wa nini? Au ilikuwa chai shoga yangu...Yaaani imebidi nicheke tu. Natamani kuufuta huu uzi..ila ndo nashindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaDuh yamekuwa hayo tena [emoji38][emoji38][emoji38], haya we endelea kulea mtoto wa bodaboda sijui bajaj
Kuloweka Watu Wengi Sana Wana PendaKuanza tu na kugongwa pekupeku.
Nlikua njia panda ndo maana nikaomba ushauri, ila maamuzi nlishafanya
Ukahaba siachi...ndo kwanza nanza.kichwa kiniume sababu ya ukahaba wako....tunza mimba wewe....
Wewe hao unakuwaga nao unawajua kwamba mmezaliwa pamoja...au unazungumzia kujuana ganiWe dada hujielewi kabisa unawezaje kuachia bumunda lako kwa muhuni ambae wala humjui wadada wengi sijui mnafeli wapi aisee
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]CreditAnalyst mrejesho upo?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
unaTAKA mrejesho gani mkuu...?
Hebu tuanzie hapo
Story ya kweli humu JF nili yakufua nguo,kitambi, magaga, Uhuru katika Mahusiano nyingine nyingi
Hizi story za Dereva bajaji...zilikua za kuchangamsha genge TU mkuu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]...UMENICHEKESHA SANA Kuufufua Uzi huu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
unaTAKA mrejesho gani mkuu...?
Hebu tuanzie hapo
Story ya kweli humu JF nili yakufua nguo,kitambi, magaga, Uhuru katika Mahusiano nyingine nyingi
Hizi story za Dereva bajaji...zilikua za kuchangamsha genge TU mkuu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]...UMENICHEKESHA SANA Kuufufua Uzi huu
Mabinti hivi kwanini hamuolewi mpaka mnapewa mimba za nje ya ndoa ?Mimi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].....Nimecheeeeeka SanaUlifanikiwa kutoa MIMBA ya dereva dereva bajaji
Vizuri...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].....Ngoja nicheke tu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].....Nimecheeeeeka Sana
Wallahi...Dereva bajaji [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Na ile nyingine niliosema nilienda Mpwapwa.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]..
Umenikumbusha Ujinga Wangu wa JF
Kabisaaaa....MITANO TENA..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mitano tena kwako
Hivi nikikuomnea dua mbaya kwa kutuchezea akili nitakuwa nakosea ?Story za Dereva bajaji zilikua za kutunga tu mkuu...Ndo maana nimecheka Sana Huyu alivyofukua hili kaburi...
Ila unaweza Amini utakacho
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]....Tena KAZi yangu nzuri..SI nlisema kanitafutia Dereva bajaji[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah dereva bajaji mbaya sana, et Mimi nnakazi yangu nzuri tu, hila jf kuna vituko
Sijawai ona MTU kasema, nimetoka shambani,