Mpenzi wangu ananishauri nitoe mimba, hana uwezo wa kulea

Mimi nina Mika 29 ninafanya kazi nzuri tu. Ila sasa nikawa sinamtu mda mrefu nikajikuta natuliza miwasho kwa Dereva mmoja wa bajaji.

Sasa swala linakuja kuwa tumedumu kwa muda wa mwezi na Sasa nimegundua ni mjamzito wa week mbili. Kwanzia mwanzo kabisa siku ya Kwanza aliniambia usije beba mimba yangu kua hawezi kulea Saiv.

Nimemwambia juu ya ujauzito anasema nitoe yeye hataki kulea kwani anamtoto mmoja na anashindwa kuhudumia....

Je mnanishaurije?
Jifunze kukabiliana na makosa uliyoyasababisha. Ushafanya makosa now be responsible. Kazi unayo unaogopa nini kulea?
Binafsi nilipata ujauzito nikiwa chuo mwaka wa kwanza rafiki zangu wawili walinishauri nitoe lakini sikuwa na hayo mawazo hayo. Now imepita miaka mingi sijafanikiwa kupata mtoto mwingine ninae huyo mmoja amekuwa jicho langu.
Sasa wewe fanya mistake uitoe hlf uje kukosa mtoto mwingine ulie na kusaga meno. Uamuzi ni wako si huyo dereva bajaji
 
Umemalizaa..
 
Ndo maana Ujaolewa.ume baki kuchapwa mambo tu ukitoka apo nenda nakwa muuza chipsi...
Kwaiyo Mugabe Ana sura mbaya aua una maaana gani? ...Hata Mama yako anasura ya Mugabe ndo maaana alikuzaa unasura ya sokwe
 
Sijui huu utakua ushauri wako wa ngapi kuusoma toka kwangu ila nataka kukwambia kitu kimoja kwamba Jaribu kukaa chini peke ako Tulia kisha jiulize

What if huyu kiumbe tumboni mwangu ndio Magufuli wa baadae?
What if huyu kiumbe tumboni mwangu ndio Diamond wa kesho?
What if huyu kiumbe ndio Samata wa kesho kutwa?
What if MUNGU ndie amenipa uwezo wa kuzaa huyu tu na sitokaa nipate tena ujauzito? (jiulize sana hili swali)

Usione Mimba jaribu kuona kwamba umepata bahati ya kubeba zawadi,achana na huyo aliekataa mimba nakuhakikishia Ukilea hiyo mimba Kabla ya kufika miezi 9 Huyo jamaa alie ikataa atarudi kukwambia ule uamuzi wa kuukataaa Hakua yeye Anaomba msamehe.

Tangu niwe mtu mzima sijawahi kuona wala kusikia mwanamke amesema Najuta kuzaa huyu mtoto amekua mzigoooo,nakwambia Baraka utakazo zoa kwa kumleta duniani huyo mtoto si za kawaida,usitoe mimba dada.

Sijui kama unanielewa ila elewa kwamba Hamna HASARA hata 1 ya wewe kuwa MAMA ila kuna hasara nyingi za kutoa hiyo mimba,usijaribu dada Hakika nakwambia kama utajitunza kwa shida na raha na ukajifungua mtoto wako utaipata furaha yako mara tu Utakapomshika mwanao mkononi.

Ebu muangalie huyu mtoto na mama ake,kisha mtoe huyo mama ake Jiweke ndio wewe sasa upo na mwanao unafurahi nae hivyo...ooooooh sister usitoe mimba just look at this ARE YOU READY TO MISS THIS MOMENT? kweli kweli,,,,noooo come on you can make it... Just take a look 👇 👇 👇

12.jpg

usikubali huyo jamaa akukoseshe hii moment maishani mwako wala nafsi yako...

rudia kujiuliza tena hili swali

What if sitoshika tena ujauzito maishani mwangu?? usikubali
 
Sijui huu utakua ushauri wako wa ngapi kuusoma toka kwangu ila nataka kukwambia kitu kimoja kwamba Jaribu kukaa chini peke ako Tulia kisha jiulize

What if huyu kiumbe tumboni mwangu ndio Magufuli wa baadae?
What if huyu kiumbe tumboni mwangu ndio Diamond wa kesho?
What if huyu kiumbe ndio Samata wa kesho kutwa?
What if MUNGU ndie amenipa uwezo wa kuzaa huyu tu na sitokaa nipate tena ujauzito? (jiulize sana hili swali)

Usione Mimba jaribu kuona kwamba umepata bahati ya kubeba zawadi,achana na huyo aliekataa mimba nakuhakikishia Ukilea hiyo mimba Kabla ya kufika miezi 9 Huyo jamaa alie ikataa atarudi kukwambia ule uamuzi wa kuukataaa Hakua yeye Anaomba msamehe.

Tangu niwe mtu mzima sijawahi kuona wala kusikia mwanamke amesema Najuta kuzaa huyu mtoto amekua mzigoooo,nakwambia Baraka utakazo zoa kwa kumleta duniani huyo mtoto si za kawaida,usitoe mimba dada.

Sijui kama unanielewa ila elewa kwamba Hamna HASARA hata 1 ya wewe kuwa MAMA ila kuna hasara nyingi za kutoa hiyo mimba,usijaribu dada Hakika nakwambia kama utajitunza kwa shida na raha na ukajifungua mtoto wako utaipata furaha yako mara tu Utakapomshika mwanao mkononi.

Ebu muangalie huyu mtoto na mama ake,kisha mtoe huyo mama ake Jiweke ndio wewe sasa upo na mwanao unafurahi nae hivyo...ooooooh sister usitoe mimba just look at this ARE YOU READY TO MISS THIS MOMENT? kweli kweli,,,,noooo come on you can make it... Just take a look [emoji116] [emoji116] [emoji116]

View attachment 1208994

usikubali huyo jamaa akukoseshe hii moment maishani mwako wala nafsi yako...

rudia kujiuliza tena hili swali

What if sitoshika tena ujauzito maishani mwangu?? usikubali
Nimekuelewa controlla
 
Jifunze kukabiliana na makosa uliyoyasababisha. Ushafanya makosa now be responsible. Kazi unayo unaogopa nini kulea?
Binafsi nilipata ujauzito nikiwa chuo mwaka wa kwanza rafiki zangu wawili walinishauri nitoe lakini sikuwa na hayo mawazo hayo. Now imepita miaka mingi sijafanikiwa kupata mtoto mwingine ninae huyo mmoja amekuwa jicho langu.
Sasa wewe fanya mistake uitoe hlf uje kukosa mtoto mwingine ulie na kusaga meno. Uamuzi ni wako si huyo dereva bajaji
Sawa dear asante
 
[emoji23][emoji23][emoji23]umesha chakaaa..fanya kuzaa uingie kwenye chama la single mom..boda boda sio watu wazuri
Kafie mbali......Aliyekwambia Nimekufa Nani...hahahaha Msenge tu wewe haunibabishi
 
Wanawake bana, mtu ashakueleza hataki ubebe mimba yake...ukabeba. Naamini ulikuwa unajua litakalotokea, otherwise unatuinjoi tu hapa!
 
He isn't immature he is a Man. Though he doesn't have much he has accepted his responsibility and We are now looking forward to meeting out bundle of joy.
Advising you to abort an innocent kid is one of his responsibility. Right ?
 
Mimi nina Mika 29 ninafanya kazi nzuri tu. Ila sasa nikawa sinamtu mda mrefu nikajikuta natuliza miwasho kwa Dereva mmoja wa bajaji.

Sasa swala linakuja kuwa tumedumu kwa muda wa mwezi na Sasa nimegundua ni mjamzito wa week mbili. Kwanzia mwanzo kabisa siku ya Kwanza aliniambia usije beba mimba yangu kua hawezi kulea Saiv.

Nimemwambia juu ya ujauzito anasema nitoe yeye hataki kulea kwani anamtoto mmoja na anashindwa kuhudumia....

Je mnanishaurije?
ndoa na dereva bajaji hiyooooo. tutaomba mualiko usitusahau
 
Back
Top Bottom