Mpenzi wangu ananishauri nitoe mimba, hana uwezo wa kulea

Mpenzi wangu ananishauri nitoe mimba, hana uwezo wa kulea

Lea tu mwenyewe, dereva wa bajaj yuko sawa kwa kusema ukweli, mambo yakikaa vyema kwake mtasaidiana, ila ujuwe mzigo ni wako, na si mchezo mchezo jiandae kisawasawa kabisa....
 
Kwanini usilee wewe ? Bottom line mtoto ni wako.., hata hao kina mama wengi wenye so called walezi wenzao wengi wao wanalea wenyewe...
 
Mimi nina Mika 29 ninafanya kazi nzuri tu. Ila sasa nikawa sinamtu mda mrefu nikajikuta natuliza miwasho kwa Dereva mmoja wa bajaji.

Sasa swala linakuja kuwa tumedumu kwa muda wa mwezi na Sasa nimegundua ni mjamzito wa week mbili. Kwanzia mwanzo kabisa siku ya Kwanza aliniambia usije beba mimba yangu kua hawezi kulea Saiv.

Nimemwambia juu ya ujauzito anasema nitoe yeye hataki kulea kwani anamtoto mmoja na anashindwa kuhudumia....

Je mnanishaurije?
pole dada lakini nakushauri usitoe mimba kwanza ni dhambi kwa Mungu.
 
Haya maneno matupu hayana ushawishi wowote bali porojo tu, hebu tupia kapicha piyemu ili tumkomoe huyu Tomasso Extrovert.
Sina muda wa kukushawishi Mimi WEWE...

Dereva bajaji wangu anasemaga...mylove wangu wewe Ni kazuri la Hilo umbo lako Mimi hoi.. Kwaiyo UNATAKA nikutumie picha ili ugundue nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Wewe hujui unachotaka kufanya na huo ujauzito?

2. Malengo yake yalikua kuzaa au?

3. Sikiliza moyo wako unachokitaka. Watakwambia zaa (uitwe single mom) au toa (uitwe muuaji)
Maamuzi yako mikononi mwako

Usijaribu kutoa kwa kuwa madhala ya kutoa mimba ni mabaya kuliko kulea mtoto
 
Sina muda wa kukushawishi Mimi WEWE...

Dereva bajaji wangu anasemaga...mylove wangu wewe Ni kazuri la Hilo umbo lako Mimi hoi.. Kwaiyo UNATAKA nikutumie picha ili ugundue nini

Sent using Jamii Forums mobile app

Mara nyingi huwa tunawatania tu, wote uwaonao njiani huambiwa na ‘walaji’ wao ya kuwa ni wazuri sana.... ila je kiuhalisia ni kweli..?
 
Mara nyingi huwa tunawatania tu, wote uwaonao njiani huambiwa na ‘walaji’ wao ya kuwa ni wazuri sana.... ila je kiuhalisia ni kweli..?
Sio wote wanakwambia u mzuri, love is in the eye of the beholder. Hata Mimi hua namwambia You are so handsome my cheupe Dawa. Unanikosha na ndevu zako zinakufanya uwe handsome zaidi.[emoji847]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi huwa tunawatania tu, wote uwaonao njiani huambiwa na ‘walaji’ wao ya kuwa ni wazuri sana.... ila je kiuhalisia ni kweli..?
Sasa Mimi sisubirii kuambiwa..najiona mwenyewe kuwa Mimi Ni mzuri.Tena hua nakijuangakia kwenye kioo..nasema wow am so beautifu, Tena nageuka geuka kabisa..na kusifu uumbaji wamungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom