Muwe mnatupa Na mirejesho, vp kazi yako inaendeleaje?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]....Tena KAZi yangu nzuri..SI nlisema kanitafutia Dereva bajaji[emoji2][emoji2]
Aiseeee ...
Hili niachie mwenyewe najua nini cha kufanya.Mkuu...hii mada ya 2019 huko....Dua mbaya usionembee...niombee Ungofu tu
Sawa..jurjani
ʊtǟաɛʐǟ kwel[emoji23][emoji23][emoji23]Usijali mkuu..saiv natafuta mwenye Six pack...ntakuja kwako nikimaliza kunyonyesha[emoji2][emoji2][emoji2]
ռռǟ ɛxքɛʀɨɛռċɛ ʏǟ ʍɨǟkǟ ²⁰ kառʏ ɦɨɨ ֆɛktǟ ʏǟ uchakataj[emoji23][emoji23]Nikuulize Wewe...Utaweza?
Ulichodanganya ni nini katika hii story:[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
unaTAKA mrejesho gani mkuu...?
Hebu tuanzie hapo
Story ya kweli humu JF nili yakufua nguo,kitambi, magaga, Uhuru katika Mahusiano nyingine nyingi
Hizi story za Dereva bajaji...zilikua za kuchangamsha genge TU mkuu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]...UMENICHEKESHA SANA Kuufufua Uzi huu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].....aaah hii story Ni fiction Mkuu..Ulichodanganya ni nini katika hii story:
Umri?
Kazi?
Mimba?
Au the whole story ni fiction?
Kwani dereva bajaj yeye hataki kuwa na mwanamke mrembo?
Kama ni hivyo basi tusiwadharau na kuwaona wao hawafai aina fulani ya wanawake. Wanastahili kupenda na kupendwa kama wengine.Dereva bajaji kibao Wana wake warembo..hata mkeo haoni ndani..
So hiyo Sio factor
Nadhani umejifunza, kuleta stories ambazo in the end inabidi ujitetee mno sio poa, be real![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].....aaah hii story Ni fiction Mkuu..
Ungekuwa unanijua ungeamini kabaisa