Bob Lee Swagger
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 1,362
- 519
Mfanane makabila ili iweje?!
Kwani kwenye ndoa mnaenda kutambika mizimu?!
Pili, sidhani kama unampenda!
Kwani kwenye ndoa mnaenda kutambika mizimu?!
Pili, sidhani kama unampenda!
Mnapoenda kwenye vikao vya makabila huwa mnaona raha kubagua wengine huko vikaoni eeenh!!!!
Kumbe huwa mnajichimbia mashimo msokuwa na.kazi nayo!!!!!!
Last wkend I met someone arround Muhimbili with a t shirt painted "Proudly Nyakyusa" nilikuwa na rafiki yangu tukajiuliza maswali mengi yasiyo na majibu sasa na hili linaongeza maswali zaidi!!!!
sisi tunachangia kutokana na kile alichoweka mwangani hivyo vya gizani havituhusu kwa sababu hajaona umuhimu wa kuviweka,,,,,,usitoe ushauri kwa kusimamia kwenye hisia zako badala ya hisia zake na sababu zake,akiona umuhimu wa kuviweka wazi nadhani atafanya hivyo hata hivyo yawezekana pia hajaambiwa
Kwani wewe wakati unaanza kutoka na huyo ndugu wa magharibi sijui kusi ama kusini, ulikuwa hujui wazazi wako hawataki 'wakuja'?
Unampotezea mwenzio muda. Kuingia familia ya watu kutwa unakwepa makombora na kujipendekeza ili ukubalike, bado kuna stress za ndoa! Hebu muache bwana atapata anapokubalika
jamani nishaurini nina mpenzi ananipenda sana nami nampenda bt sio wa kabila langu na yy ni wa kusini mi wa kaskazini ki2 ambacho wazazi hawataki wanataka niolewe kwe2 na m2 wa kabila langu. mpenzi wangu anataka niwaeleze wazazi juu ya mahusiano ye2 yawe wazi bt nashindwa nianze vipi kuwaeleza wazazi wangu kuhusu yy hadi sasa anahisi namfanyia maigizo nifanya nn ili wazazi wakubali mm kuolewa na m2 anaenipenda?bila kujali kabila na sehemu anayotoka?:flypig::flypig::flypig:,
Kama nimempata vizur mleta uzi huu yy hana tatizo ila wazaz ndo wanaleta mambo hayo.....
Hatuwez fahamu wazazi wake wana historia gani na watu hao kipind cha maisha yao,ujue kuna baadhi ya watu wa wanaishi kutokana na makosa na wengine kutokana na historia.....kwa maana ukisubir kosa litokee ndo ujifunze unaweza ukawa umeharibu system yote ya maisha na hata hiyo nafas yakujifunza ukaikosa.
Mimi ningeliambiwa hivyo na mzazi wangu ningejaribu kupeleleza ni hasa base yao....then ningefanya maamuzi.
All in all am proud to b Nyakyusa......usiniulize kwanini,ingawa yatupasa kupenda chako!!!!!
duh hadi makabila ingekuwa dini tofauti sawa lakini makabila hebu kaa chini uzungumze na wazazi wako uwaeleze labda wana sababu zao
hisia zake nitazijuaje mie? kwanza wanaohitaji ushauri wanahitaji kuona mitazamo ya wengine juu ya jambo hilo kwahiyo kila mtu anatoa ushauri kutoakana na hisia zake na mtazamo wake binafsi juu ya hilo jambo.
mmmhh
hadi weweee??
Ofcoz yes_....na ukiifuma sehemu please niletee ntakuwa navaa kanisani,kazini,bar,disco,mtaani mpaka ichanike.....proudly Nyakyusa...ahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa