Wazazi wako bado Primitive(Pardon for my language)..mwambie akupe MIMBA
Akimpa mimba itakua matatizo zaid
mi haya maswala ya kabila dini yanaumiza vichwa kwa weng
Wazazi wako bado Primitive(Pardon for my language)..mwambie akupe MIMBA
wazee wengine wanaendekeza mila potofu,hawataki kuelimika wamesahau karne ya sasa imejengwa ktk sayansi na teknolojia hayo mambo ya kujudge kabila la mtu na mtu mwenyewe yameshapitwa na wakati,,,,karne hii hakuna aliyemkamilifu
umeona eeh, mchumia janga hulia na wa kwao sasa huyu muache akimmbie kwao likimkuta huko sijui atalia na nani.Tatizo lakutumia moyo sana mpaka akili unashindwa kuishirikisha katika jambo lako......wazee wetu wanaona mbali wakat mwingine!!!!!
Big like mpenzi
Wazazi wako bado Primitive(Pardon for my language)..mwambie akupe MIMBA
Ndio mjifunze kwa hi case kuwa maisha halisi ni zaidi ya kabila!!!!!
Halafu mtu unakuwaje proud na.kitu ambacho huwezi kukibadili kwa mfano???!!!!!!
Huwezi kuwa nyakyusa halafu ukawa proud kuwa maasai????!!
Hata huyu anayelalama hapa akipata t shirt ya kabila lake ataivaa tu!!!!!
ndio maana nikamwambia huyu bidada aangalie na mazingira lakini hawa wazee wenye mila potofu huwa wanaona mbali sometimes.
jamani nishaurini nina mpenzi ananipenda sana nami nampenda bt sio wa kabila langu na yy ni wa kusini mi wa kaskazini ki2 ambacho wazazi hawataki wanataka niolewe kwe2 na m2 wa kabila langu. mpenzi wangu anataka niwaeleze wazazi juu ya mahusiano ye2 yawe wazi bt nashindwa nianze vipi kuwaeleza wazazi wangu kuhusu yy hadi sasa anahisi namfanyia maigizo nifanya nn ili wazazi wakubali mm kuolewa na m2 anaenipenda?bila kujali kabila na sehemu anayotoka?:flypig::flypig::flypig:,
umeona eeh, mchumia janga hulia na wa kwao sasa huyu muache akimmbie kwao likimkuta huko sijui atalia na nani.
mmmhhmhm kumbe tupo wengi
dah kumbe haya mambo mpaka leo yapo hatari tupu si kwetu wote ruska kasoro mchaga wa machame tu,lamsing ongea na wazazi
una uhakika gani kama hajapewa sababu? pengine hajataka tu kutushirikisha hapa sababu ya wazee wake kung'ang'ania hilo.hao wazee hawajatoa sababu za msingi ila wameng'ang'ania majimbo tu,hawataki mchanganyiko kati ya kusini na kaskazini kitu ambacho kiliwezekana enzi zile za mwalimu lakini sio leo hii.......nawapa pole wale wote wanaoamuliwa na wazazi wao teh teh teh bado wanaishi kiprimitive wakati sie tuko capitalism
una uhakika gani kama hajapewa sababu? pengine hajataka tu kutushirikisha hapa sababu ya wazee wake kung'ang'ania hilo.
Ndo maana yake lakin ukweli upo wazi kuwa kuna vitabia vinakuShaped na kabila husika....Kuna baadhi ya kabila miiko kwake ni pesa lakin dada yake anaweza akambandua.
Ndo tuangaliege sasa......
dah kumbe haya mambo mpaka leo yapo hatari tupu si kwetu wote ruska kasoro mchaga wa machame tu,lamsing ongea na wazazi