maji yakimwagika hayazoeleki,wazazi walikupa tahadhari lakini haijasaidia(maji yamemwagika).MAMBO YAKIFIKA SHINGONI hata kama hautaki kufa unajua sasa hakuna jinsi(wazazi inabidi wakubaliane na wewe mana kama walikushauri ikashindikana leo wataongea lipi uwaelewe?Zaidi utaendelea kuumia).
KUONYESHA KWAMBA kwanza unaweheshimu sana wazazi wako na pili haukudharau ushauri wao na wala hukupanga kupingana nao ila imetokea tu.
TAFUTA AMA
1.ndugu zako(married) ama ndugu yako mmoja ambaye wanamuheshimu sana wazazi wako na wanaweza kumsikiliza,mweleze msimamo wa wazazi wako,mweleze kuwa unaheshimu sana ushauri wao lakini kilichotokea si kwa nia mbaya ya kukataa ama kupuuza ushauri bali wewe umempenda kwa dhati huyo kijana,waambie/mwambie wao wabebe jukumu la kwenda kukusemea na kuwashauri wazazi wako na kukuombea msamaha ili wawe tayari kumpokea mpenzi wako.
2.NENDA kwa familia rafiki na familia yenu ,kawaite mume na mke,waeleze kama hapo juu,waombe sana wakusaidie kuwaweka wazazi sawa.
NAAMINI WATAHESHIMU USHAURI