Mpenzi wangu ananiomba Nimnyoe nywele za.......

Upuuzi mtupu.yapo mambo ya msingi ya kujadili,co upuuz huu.akiachwa cc inatuhusu nini?
 
Jamani hapa mwenzenu pananipa wakati mgumu naomba msaada wenu mwenye uzoefu huu anisaidie.yani kila nywele zikikua ananiomba nimnyoe napiga chenga visingzio kibao mpaka anarekebisha mwenyewe ss icje nikakimbiwa kwa kutotimiza hayo.Ushauri tafadhari.
dah, kaa ukijua kwanza umepewa priority na heshima kubwa sana kupata nafasi ya mpenzi wako kukuamini na kukupa nafasi na ruhusa ya kipekee, kakuamini kuliko watu wengine wote hata wa jinsia yake, sasa we endelea kuchezea hiyo nafasi, utamboa huyo honey kwa hicho kidogo, mwisho wa siku yawe makubwa.Usisahau kwamba wapenzi wengi wanafeel proud wanaposikilizwa mambo madogo na wenzi wao, inapokuwa tofauti hujisikia kama hawana nafasi ndani ya mioyo ya wenzao. Tumia hiyo nafasi effectively
 
we utakua ni SHE tu,,,kinachokupigisha danadana kumnyoa ni nn? acha uzembe wewe kama unaweza kumshukia na kufanya unavyotoka hapo anapotoka umnyoe panakushinda nn kama ushamba?nahisi hata akiwish kukunyoa utakataa pia! cku ukikuta kanyolewa fresh na anajisifia ucmulize kanyolewa wapi au imekuaje hakusumbui tena? DO what is due kama una ndoa...
 
Poa wadau nimewasoma wote ntaufanyia kazi mchango wenu.ntaanza kuinyoa dudu
 
Jamani hapa mwenzenu pananipa wakati mgumu naomba msaada wenu mwenye uzoefu huu anisaidie.yani kila nywele zikikua ananiomba nimnyoe napiga chenga visingzio kibao mpaka anarekebisha mwenyewe ss icje nikakimbiwa kwa kutotimiza hayo.
Ushauri tafadhari.
mwache rafiki yako akusaidie kumnyoa hayo m.avuzi
 
dah, kaa ukijua kwanza umepewa priority na heshima kubwa sana kupata nafasi ya mpenzi wako kukuamini na kukupa nafasi na ruhusa ya kipekee, kakuamini kuliko watu wengine wote hata wa jinsia yake, sasa we endelea kuchezea hiyo nafasi, utamboa huyo honey kwa hicho kidogo, mwisho wa siku yawe makubwa.Usisahau kwamba wapenzi wengi wanafeel proud wanaposikilizwa mambo madogo na wenzi wao, inapokuwa tofauti hujisikia kama hawana nafasi ndani ya mioyo ya wenzao. Tumia hiyo nafasi effectively
chief! hiyo avatar ya huyo sokwe ina hamasisha mambo yetu yale ya 071......
 
Huyu nisakala wa dunia we ktk dunia ipo mash we upo magh hilo linakushinda mautundu ya kiwanjani si unaboa we kama dem inabidi ukazane kwel kubadilika maana unatia kichefchef ktk dunia ya malavidav
 
Upuuzi mtupu.yapo mambo ya msingi ya kujadili,co upuuz huu.akiachwa cc inatuhusu nini?
Watu wa namna hii hua hamkosi.pangu pakavu kweli ni pakavu hakuna ht lepe la unyevunyevu.kwa mimi hua nafunika kombe.............apite.
 
Huyu nisakala wa dunia we ktk dunia ipo mash we upo magh hilo linakushinda mautundu ya kiwanjani si unaboa we kama dem inabidi ukazane kwel kubadilika maana unatia kichefchef ktk dunia ya malavidav
Ushauri wko mzuri lakini umejaa kashfa,matusi sasa cjui nachukua ushauri au matusi?
 
Kokudo mambo, angalia asikukimbie huyo. Utakosa mpenzi!! Shauri yako.
 
Ni vizuri ukaanisha ni nyele za wapi kama walivyosema weng'ne hapo ju.
Binafsi mi na ona poa kwani hayo ni jumla ya mapenzi kwani nikichochen cha mapenzi .kwani mapenzi ni kama mambo hayo na kufanya tendo la ndoa ni hitimisho la penzi hakuna zaidi ya hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom