Mpenzi wangu ananikera sana

M.Melo imefika wakati ufungue jamiiforum totoplus ili watoto kama hawa wapate fursa ya kujadiliana mambo yao ya kitoto kitoto,sifa za kujiunga kitambulisho cha shule ama chuo..ukikua utaelewa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kuhoji nipo wapi nafanya nini, kosa nikitaja sehemu mara huyo kaja kiukweli haielezeki, ananipa kero sana nishindwa kukaa sehemu hata na marafiki tu yeye anataka kila muda tugandane gandane.
Hajaanza kukuuliza kama upo jikoni ugonge vijiko; kwa barabara upige honi...kwa daladala asikie sauti ya konda... kitandani ugeuke geuke asikie mlio wa kitanda chenu.

Hapo ni mawili moja yeye hajiamini au wewe ni kicheche anakujua yaani akikupa dk sifuri tu unaliwa.

Tena una bahati anatakiwa kila muda apekue simu yako.
 
piga chini. ukioa huyo ndiyo hao ambao hupelekesha wanaume mpaka unafika hatua unatenda kosa la jinai hata mauaji. jiepushie balaa mapema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…