Yani kuona umeona mwenyewe alafu sisi ndio tukuambie kama unadanganywa?
Naaah, hakudanganyi bana.We huyo ni mshkaji wake tu wanachangamshana.Ignore hizo text muendelee na mapenzi yenu kama kawaida.
taratibu jaman
Yani kuona umeona mwenyewe alafu sisi ndio tukuambie kama unadanganywa?
Naaah, hakudanganyi bana.We huyo ni mshkaji wake tu wanachangamshana.Ignore hizo text muendelee na mapenzi yenu kama kawaida.
nina mpenzi wangu nampenda sana na naamini naye anipenda sana ila siku za hivi karibuni ameanza kuwa na tabia ya kuchat sana na mwanaume mmoja nikimuuliza anadai ni rafiki lakini mimi nakuta meseji wakiita honey,mumy,mpenzi na zaidi huwa mkali sana napotaja jina la huyo jamaa na hataki kabisa kuongelea juu huyo,mbaya zaidi kwa siku anaweza kuanzia asubuhi akiamka anamcheck huyo jamaa na kuanza kuchat pasipo mimi kunijulia hali,na mara kwa mara nishakuta sms za promise,JE KWELI HUYU NI MUAMINFU KWANGU AMA ANIDANGANYA
taratibu jaman
Wapi nimeharakisha?
Yan kusoma hujui,hata kuangalia picha hujui mkuu?
anakuona wewe hutaki kumuoa ndo maana anatafuta PLAN B; inakuwaje unaishi na huyo mwanamke bila kufunga naye ndoa (maneno yaliyo katika red yanadhiirisha mnaishi wote).nina mpenzi wangu nampenda sana na naamini naye anipenda sana ila siku za hivi karibuni ameanza kuwa na tabia ya kuchat sana na mwanaume mmoja nikimuuliza anadai ni rafiki lakini mimi nakuta meseji wakiita honey,mumy,mpenzi na zaidi huwa mkali sana napotaja jina la huyo jamaa na hataki kabisa kuongelea juu huyo,mbaya zaidi kwa siku anaweza kuanzia asubuhi akiamka anamcheck huyo jamaa na kuanza kuchat pasipo mimi kunijulia hali,na mara kwa mara nishakuta sms za promise,JE KWELI HUYU NI MUAMINFU KWANGU AMA ANIDANGANYA
"Stress free"????
We wasema. . . . . .!
Ha ha ha ha mbavu zangu jamani!
Yani kuona umeona mwenyewe alafu sisi ndio tukuambie kama unadanganywa?
Naaah, hakudanganyi bana.We huyo ni mshkaji wake tu wanachangamshana.Ignore hizo text muendelee na mapenzi yenu kama kawaida.
Mh Hapana aisee hapo jamaa anasaidiwa jamani ila ndo hajui kusoma alama za nyakati.....au hadi awakute wanachakachuana ndo atajua katemwa?Yani kuona umeona mwenyewe alafu sisi ndio tukuambie kama unadanganywa?
Naaah, hakudanganyi bana.We huyo ni mshkaji wake tu wanachangamshana.Ignore hizo text muendelee na mapenzi yenu kama kawaida.
mwambie aende jls atajuta hata kuingia humu