mpenzi wangu ananidanganya

Dec 26, 2011
16
3
nina mpenzi wangu nampenda sana na naamini naye anipenda sana ila siku za hivi karibuni ameanza kuwa na tabia ya kuchat sana na mwanaume mmoja nikimuuliza anadai ni rafiki lakini mimi nakuta meseji wakiita honey,mumy,mpenzi na zaidi huwa mkali sana napotaja jina la huyo jamaa na hataki kabisa kuongelea juu huyo,mbaya zaidi kwa siku anaweza kuanzia asubuhi akiamka anamcheck huyo jamaa na kuanza kuchat pasipo mimi kunijulia hali,na mara kwa mara nishakuta sms za promise,JE KWELI HUYU NI MUAMINFU KWANGU AMA ANIDANGANYA
 
Kwakuwa hujahadithiwa bali umezishuhudia kwa macho yako mwenyewe hizo sms then dont act like you dont know bana....huyo beibe wako hana nidhamu. Na jamaa kashakupokonya tonge mdomoni...Otherwise,hakuwa na sababu ya kuwa mkali kama hakuna chochote zaidi ya urafiki kati yao.WAKE UP!!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yani kuona umeona mwenyewe alafu sisi ndio tukuambie kama unadanganywa?

Naaah, hakudanganyi bana.We huyo ni mshkaji wake tu wanachangamshana.Ignore hizo text muendelee na mapenzi yenu kama kawaida.
 
Kwanza karibu jamvini,

japo umeingilia mlango usio wenyewe ungeanzia kule kwenye utambulisho wa memberz...!
ila sio nongwa.....
kwa maelezo yako mwenyewe majibu tayari unayo, kwamba hicho anachofanya mwenzio hakikupi raha...
Act kama mwanaume, mpe space achana na simu yake......
ila kwa hali ilipofikia hapo naona kama tayari ushachelewa kidogo, so cha kufanya kuwa tayari kumpoteza sababu hatua zozote za kujifanya unataka kuonyesha unamjali sana na kumuhangaikia ndio zitamkera zaidi na utamboa kabisa na hivyo ndio kumpoteza kabisa.
Calm down, take it slow, punguza hisia, mpe space, akikuhitaji kuwa pale kwa mda wako na umsikilize wala usilaumu kitu.....
 
Yani kuona umeona mwenyewe alafu sisi ndio tukuambie kama unadanganywa?

Naaah, hakudanganyi bana.We huyo ni mshkaji wake tu wanachangamshana.Ignore hizo text muendelee na mapenzi yenu kama kawaida.

hahahahah mkwe hapo kwenye blue
 
Anakudanganya huyo cha msingi hapo kung'uta mzigo huo kwa mara ya mwisho kisha anza mbele kwani manzi anaonesha hana tena mapenzi nawe.kung'uta mzigo huo kwa hasira ili iwe fundisho kwake na wengine wenye tabia kama yake!
KUMBUKA
hakikisha yeye anasikia maumivu wewe unasikia raha!.ni hayo tu
 
Bwa-mdogo! Ukiona taa za indecator HAPO GARI INAKATA KONA! Ama kushoto ama kulia!
Ukiona gari imewasha wepar HAPO KUNA MVUA inayoendelea! Maana ya "ALAMAVIASHIRIA" hua vina coup na EVENTS.
Kwa neno ulilotumia (nna mpenzi wangu) liondoe! Kwa viashiria vyote ulivyoviainisha TUKIO lipo, vua miwani ya mbao na tafuta mwingine.
 
Kusanya ushahidi woooooote umepata hadi sasa, alafu kaa nae umuulize kulikoni.
 
"Stress free"????
We wasema. . . . . .!

Eeeeeh!....kama mtu anapata stress zilizotokana na JF naamini kajitakia mwenyewe...au bahati mbaya,mawazo aliyochangia hayajalandana na wana JF wengine...so mabishano ya hapa na pale which is kawaida... Personally,na-enjoy kuwepo humu ndani..
 
huna haja ya kujishauri toka nduki na pia usimtusi wala kumpiga we nenda na zako utalia siku ya kwanza na ya pili ila ya tatu unazoea..

kwani demu yupo pekee yake Alaaa!..
 
nina mpenzi wangu nampenda sana na naamini naye anipenda sana ila siku za hivi karibuni ameanza kuwa na tabia ya kuchat sana na mwanaume mmoja nikimuuliza anadai ni rafiki lakini mimi nakuta meseji wakiita honey,mumy,mpenzi na zaidi huwa mkali sana napotaja jina la huyo jamaa na hataki kabisa kuongelea juu huyo,mbaya zaidi kwa siku anaweza kuanzia asubuhi akiamka anamcheck huyo jamaa na kuanza kuchat pasipo mimi kunijulia hali,na mara kwa mara nishakuta sms za promise,JE KWELI HUYU NI MUAMINFU KWANGU AMA ANIDANGANYA

Huyo mpenzi wako ni mkeo?
Kama si mkeo wewe ulimpataje wengine washindwe?
Unanchekesha!
 
Eeeeeh!....kama mtu anapata stress zilizotokana na JF naamini kajitakia mwenyewe...au bahati mbaya,mawazo aliyochangia hayajalandana na wana JF wengine...so mabishano ya hapa na pale which is kawaida... Personally,na-enjoy kuwepo humu ndani..

Hizo stress sio stress as such, na haziletwi kwa mabishano wala malumbano.Zinaletwa na mada zinazowekwa humu, zinafanya wengine tuogope hata kucheka tukisalimiwa maana kesho na kesho kutwa msalimiaji ataanza kusema nilimchekea akajua nimeingia line alafu sasa nimemgeuka kwa kumwambia aache kunitongoza.
 
huna haja ya kujishauri toka nduki na pia usimtusi wala kumpiga we nenda na zako utalia siku ya kwanza na ya pili ila ya tatu unazoea..

kwani demu yupo pekee yake Alaaa!..

kwani huko atakapoenda ndo kunausalama?
Wanaomda wakujipanga upya na wakapendana zaidi, haya mambo yakukimbilia kuachana ndo nsoyapenda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom