KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,320
Kiukweli, wanawake wengi wako tayari kumpa daimond chochote anachokitaka mwilini mwao.
Diamond is nice, the guy is smart,anajua kuimba anajua kuvaa, ana sauti nzuri, anajituma
anapenda kazi yake...uuuh I like nyimbo zake, akiwa na wema wanapendeza pamoja
like like them....
Wadada wa mitaani si wakuoa.. akina mwajuma ndala ndefu.. diamond kama baba yao..pumbafuuu
Diamond is nice, the guy is smart,anajua kuimba anajua kuvaa, ana sauti nzuri, anajituma
anapenda kazi yake...uuuh I like nyimbo zake, akiwa na wema wanapendeza pamoja
like like them....
Ungekuwa mke wangu unaongea maneno kama haya !
Chamoto ungekiona !
Wadada wa mitaani si wakuoa.. akina mwajuma ndala ndefu.. diamond kama baba yao..pumbafuuu
Hahahahahaha, we mpenzi wako hachukii ukimsifia diamond?
Kwani kumsifia mtu vibaya jamen....
Diamond kwakweli mkaree aaah diamond jameni bila kusikiliza nyimbo zake sijalala oooh diamond....Ungekuwa mke wangu unaongea maneno kama haya !
Chamoto ungekiona !
Watu wanatofautiana, mtoa mada hapendi mpaka kaamua kuja kumsemea mpenzi wake umu.Utafikiri uyo diamond anajua jinsi mpenzi wake( mtoa mada) anamsifia.
Habari wana MMU,
Sasa kuna huyu shemeji yenu, hapa, anamsifia sana Diamond na wema sepetu, yaani kila kitu huyu kaka kapendeza, mara huyu kaka ana nyota, mara diamond sijui kafanyeje, yaani kwake yeye diamond na wema hadi kero, na mimi binafsi niko tofauti kabisa na hawo akina diamond et al.
[Others Hidden, Till later, thanks kwa ushauri]
Ushauri wenu ni muhimu wakuu!!