Mpenzi wangu anamsifia sana Diamond, hadi nakereka

Mpenzi wangu anamsifia sana Diamond, hadi nakereka

Bwanga

Member
Joined
May 26, 2010
Posts
46
Reaction score
6
Habari wana MMU,

Sasa kuna huyu shemeji yenu, hapa, anamsifia sana Diamond na wema sepetu, yaani kila kitu huyu kaka kapendeza, mara huyu kaka ana nyota, mara diamond sijui kafanyeje, yaani kwake yeye diamond na wema hadi kero, na mimi binafsi niko tofauti kabisa na hawo akina diamond et al.

[Others Hidden, Till later, thanks kwa ushauri]

Ushauri wenu ni muhimu wakuu!!
 
Kichwa cha habari hakija akisi habari yenyewe, ila bwanga, bweg.e kama yanarandana.
 
Kuna baadi ya tabia,kama uvivu inawezekana unasababishwa na hal siyekuwa NATO but zingine like kumsifia mtu, kumchukia mtu, ubishi hauna prove ya kisayans ni tabia yake tu mkuu
 
Diamond is nice, the guy is smart,anajua kuimba anajua kuvaa, ana sauti nzuri, anajituma
anapenda kazi yake...uuuh I like nyimbo zake, akiwa na wema wanapendeza pamoja
like like them....
 
Tatizo ni yeye kuwa #teamwema na Diamond au uvivu,ubishi,kunyimwa game na yeye kudai ndoa?
Kuwapenda Diamond na Wema ni mapenzi tu ya kawaida kwa wasanii,unakumbuka msiba wa Kanumba wanawake wengi waliumizwa kuliko!
Huo uvivu kwa nini haukuwa kikwazo wakati unampa mimba kiwe kikwazo kwenye kufunga nae ndoa?
Huo ubishi kama hakuwa nao mwanzoni basi either umeletwa na mimba au wewe kuleta vikwazo msifunge ndoa,ili ujue which is which basi subiri ajifungue,ukiendelea basi funga naye ndoa,kama bado utaendelea basi ni tabia yake alikuficha tu mwanzoni!!!
 
Wadada wa mitaani si wakuoa.. akina mwajuma ndala ndefu.. diamond kama baba yao..pumbafuuu
 
mtafutie mashine ya kumfanyia kila kitu mkeo mtarajiwa kabla y kumwoa
 
Kwani kabla hujampa mimba hakuwa na hizo tabia?
 
mi nadhani hauna tofauti na shigongo mind headiline yako umetumia jina la diamond kuonyesha nawe amekushka so bad!mi nadhan matatzo makubwa ni hayo ya chn na wala si la kumpenda nan
 
Kwani kabla hujampa mimba hakuwa na hizo tabia?
Sikuwahi kuishi naye before kwa sababu nilikuwa mbali naye, nimeanza kuishi naye kama one month or less before hajabeba, so ni ngumu kuweza ku-generalize kwa kukadiria those few weeks ambazo hakuwa mzito.
 
Sasa kama anamsifia wewe inakuuma nini upendo siku zote ni hiari ya mtu huwezi hata siku moja kulazimisha mtu akupende au akusifie wewe cha msingi ni kumwelekeza kistaarabu maana sio vizuri kila jambo la siri kwenye ndoa mnapaswa kulianika humu mbona hilo jambo unaweza kuli solve kumbukeni mnapo anikaanika matatizo ya ndoa ambayo ni simple kutatulika na mhusika .Mnatukatisha Tamaa Sisi tunaotaka kuoa maana kutokana na matatizo nayo yasoma kila mwanamke nayetaka kumtongoza huwa namtilia mashaka mashaka asije baadae kuwa majanga .Ni vizuri tatizo kubwa zaidi ndo liletwe humu.NDOA INAPASWA KUHESHIMIWA NA WATU WOTE.
 
Jambo la kwanza acha uzinzi maana umekazana kumnyooshea kidole mwenzako wakati wewe unaendekeza uzinzi kwa kuishi na mwanamke ambaye hujamuoa...
 
Anamsifia diamond ama anasifia nyimbo za diambond?
Kama diamond ana sura nzuri kuliko wewe basi ndugu yangu kubali tu matokeo
 
Kwani ww huna wasanii au watu maarufu unaowasifiaga?au hua anamsifia/anamtaja wkt unampa mkopo wa lotion?kama anamtaja au kumsifia wkt wa kujadili katiba mpya mkiwa kitandani,hapo ujue ana yake na u have to be worried,otherwise,sio issue kwani hata ww yawezekana unamsifia solo thang na Rah P kwa kazi zao za sanaa.
 
Back
Top Bottom