Mpenzi wangu anamsifia sana Diamond, hadi nakereka

Mpenzi wangu anamsifia sana Diamond, hadi nakereka

diamond is a freemason ana evil emotional attack kwa fans afu anaimba nyimbo aki inspire au kupromote uzinzi ambayo ni sifa kwenye chama na ka ukijua tanzania ukiimba ujinga unatoka y bcoz watz wengi ni wajinga,kuhusu shem ka naye kama mtoto mdogo mbembeleze na usimkasirikie atachange,kuwaongelea haina jinsi kashaathirika na kisaikolojia na udaku ,advice JUST BE A GENTLEMAN
unaposema ana pepo la freemason la uzinzi nakubaliana na wewe.

shetani huwa anaingia kwa watu na wanakuwa too attractive. zamani mimi nilihisi nina pepo, kwasababu sura yangu sio nzuri, lakini mwanamke yeyote nikimtokea nilikuwa sihangaiki kabisa. kuna wakati ndani ya mwezi mmoja nililala na wanawake tofauti zaidi ya kumi. wembamba, wanene, majimama, mabikira wale wagumu kabisa, wake za watu, wasabato na walokole. huwezi amini, hadi nilikuwa nikikaa nahisi kuna pepo ndani yangu, yaani nikimwangalia tu mwanamke kama nimeamua kulala naye siku hiyo hata kama ni siku ya kwanza kuonana naye lazima atavua nguo. wanawake wa heshima waliokuwa wanashindikana kwa wengine mimi nilikuwa situmii muda. kuna watu wanasema kuna wanawake huwa wagumu kugegedwa, hiyo kitu mimi sijawahi kutana nayo. lakini kwasasa nilimpa Yesu maisha yangu na pepo amenitoka, nachukia uzinzi kama nini.
 
S .Mnatukatisha Tamaa Sisi tunaotaka kuoa maana kutokana na matatizo nayo yasoma kila mwanamke .

Hahahaha mkuu unakatishwa tamaa na vitu vingi...mara hujulikani mara reputation. ..na sasa hii...pole sana...
 
Jambo la kwanza acha uzinzi maana umekazana kumnyooshea kidole mwenzako wakati wewe unaendekeza uzinzi kwa kuishi na mwanamke ambaye hujamuoa...

Hiyo ilikuwa kichwani mwangu.. ila sikutaka kucomment.
 
unaposema ana pepo la freemason la uzinzi nakubaliana na wewe.

shetani huwa anaingia kwa watu na wanakuwa too attractive. zamani mimi nilihisi nina pepo, kwasababu sura yangu sio nzuri, lakini mwanamke yeyote nikimtokea nilikuwa sihangaiki kabisa. kuna wakati ndani ya mwezi mmoja nililala na wanawake tofauti zaidi ya kumi. wembamba, wanene, majimama, mabikira wale wagumu kabisa, wake za watu, wasabato na walokole. huwezi amini, hadi nilikuwa nikikaa nahisi kuna pepo ndani yangu, yaani nikimwangalia tu mwanamke kama nimeamua kulala naye siku hiyo hata kama ni siku ya kwanza kuonana naye lazima atavua nguo. wanawake wa heshima waliokuwa wanashindikana kwa wengine mimi nilikuwa situmii muda. kuna watu wanasema kuna wanawake huwa wagumu kugegedwa, hiyo kitu mimi sijawahi kutana nayo. lakini kwasasa nilimpa Yesu maisha yangu na pepo amenitoka, nachukia uzinzi kama nini.

ubarikiwe cc badiebey
 
Last edited by a moderator:
BORA ANGEMSIFIA CHRISS BROWN .

LOH diamond hahshaha mkuu fafanua nahisi kuna kitu ujaweka wazi
 
nje ya 18.huyo anataka na wewe upendeze .labda uvaaji wako haumpendezi ndo maana anatafuta njia ya kukufikishia ujumbe..rejea wimbo wa weusiiii...GERE NA NJE YA 18.
 
Anagalia kwanza kwa Dai anasifia nini na angalia uvaaji wako ukoje? Afu ujue hakuna mwanamke anaependa mwanamme asieweza kuvaa, pili yawezekana anasifia juhud za dogo ktk utaftaj hvo jitahdi sana uongeze juhud ktk kusaka salali kijana usilale na wanawake siku zote wanapenda mwanamume hardworker au anayejituma sio kila siku uchemshe nae chai jikoni, ni hayo tu mengine umpende mwanamke mwenye tamaa kama huyo kwn atakufanya uyatafte mafanikio kwa nguvu ili kesho akusifie wewe
 
Mahaba ya wauwe wanawake wa bongo kwa Diamond na Fally ipupa wako radhi waweke ndoa zao rehani
 
Mpe mimba akizaa mtoto mmuite Diamond,mbona ni wa kawaida tu jamanii huyo diamond lol polee ipo siku atasifia shemeji zake kua ni wazuri kuliko wewe
 
Mtafutie mwenzie

Yaa akizid atafutiwe mwenzie. upumbavu tu badala usifie anaekupa utamu unasifia mtu unamuona tu kwenye Tv si ndio unafiki huuu
Mi mwanaume wangu hua namuona yupo juu kuliko yeyote hapa duniani na tunapendezana kweli
 
Uzi huu umenichekesha sana. Mbona nyie hamuishi kuongelea mipira ya ulaya huko? Bora hata huyu dada kamkariri dimondo na wema; wanaume wengi wanawajua kwa majina makocha wa timu zote na kila mchezaji wa timu yake na wa timu pinzani. Hujawakuta sasa kwenye ubishi wawe ana kwa na ana au kwa simu " sisi tutawafanya hivi..nyie hiki hamkiwezi..morinho kapanda kashuka, gigs sijui kafanyaje, manniue hivi, asiye na hali vile..". Mechi anazopenda zikifululiza wiki ndo na unyumba usahau. Wanawake waachwe na wasanii wao na tamthiliya, na wanaume waachwe na mipira hayo. Mkifanya hivi mtakuwa na amani.

Hayo ya freemason ni uzushi tu (simaanishi kuwa freemason haipo, ipo ila si hii na hivi inavyoishikiliwa bango) kibongo bongo. Ni kwamba dimondo ameshaweza kukamata wateja kwa kutumia mbinu za kawaida kabisa ila labda si nzuri kwa mitazamo ya wengine. Anajituma na ana nidhamu ya kazi, na wafanyakazi wake wanajua jinsi ya kumfanyia promosheni - yaani kumuuza. Wanamtangaza, wanamtangaza...ukifungua blogu hii yupo, mpaka jf anaongelewa, kwa shigongo, insta.... ni mkakati wa kibiashara tu msisingizie freemason. Mapromota waliona fursa alipotoa wimbo wa mbagala na nenda kamwambie. Wakaona utandale wake unaweza kuwa kikwazo japo ana kipaji. Wakaona fursa kwa wema ya kumpatia publicity, wakaichukua na wameshafanikiwa kwa soko la tz kwa njia hiyo. Sasa wanatanua mabawa nje ya nyumbani, huko wanatumia muziki na video zenye kiwango kizuri na collabo na wasanii wenye majina na kumuunganishia madili kama ya ubalozi na makampuni makubwa. Mimi niliposikia nyimbo zake nilizifurahia tu kama ninavyozifurahia za marlaw ila sikumtilia maanani. Nilipoona video zake za mbagala na nenda kamwambie jinsi alivyokuwa amepauka na kukomaa nikasema huyu mtoto angekuwa presentable angefika mbali. Siku nilipoona kwenye udaku anatoka na wema kwa mara ya kwanza nilijikuta nimenunua gazeti la udaku maana niliona haiwezekani. Kuanzia hapo na mimi masikio yangu yakawa yameshikwa. Kwa hiyo jide nae ni freemason? je ana mashairi mazuri na sauti nzuri kuliko mwasiti na lina? Hapana, amewazidi mbinu za kibiashara.
 
Habari wana MMU,

Sasa kuna huyu shemeji yenu, hapa, anamsifia sana Diamond na wema sepetu, yaani kila kitu huyu kaka kapendeza, mara huyu kaka ana nyota, mara diamond sijui kafanyeje, yaani kwake yeye diamond na wema hadi kero, na mimi binafsi niko tofauti kabisa na hawo akina diamond et al.

[Others Hidden, Till later, thanks kwa ushauri]

Ushauri wenu ni muhimu wakuu!!

Mwambie hutaki
 
Back
Top Bottom