Mpenzi wangu anakwepa kupima nitumie njia gani ili anielewe?

Asa wakikuta umeathirika wanatumia njia gn kukupa majibu hali ya kuwa hujapima kwa hiari?
Kwa hapo mkuu sijajua but mimi binafsi najiamini nipo powa ila nakumbuka ile siku kuna mdada nilikuwa nae dirishani kwenda kulipia kadi stori za hapa na pale yule dada akaniambia kuwa yeye alikuwa kicheche sana na baadhi ya jamaa zake wamefariki kwa huu ugonjwa basi alienda kulipia kadi baada ya hapo kwani nilimuona si alikimbia hahahaha, kupima si mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hapo mkuu sijajua but mimi binafsi najiamini nipo powa ila nakumbuka ile siku kuna mdada nilikuwa nae dirishani kwenda kulipia kadi stori za hapa na pale yule dada akaniambia kuwa yeye alikuwa kicheche sana na baadhi ya jamaa zake wamefariki kwa huu ugonjwa basi alienda kulipia kadi baada ya hapo kwani nilimuona si alikimbia hahahaha, kupima si mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 kupims sio jambo rahisi kwa kweli,ni zito kuliko hata uzito wenyewe
 
Kama hujui Nini maana ya KUTETEMEKA , Basi fanya maamuzi ya kwenda kupima HIV
Mwenzenu hapa nipo njian naelekea kupm, natetemeka sana
 
Mvizie usiku akiwa kalala, mchome sindano then chukua damu nenda kaipime.

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
 
Unataka akapime ili ajijue afe kwa mawazo??? Heri hivyo alivyo asijijue ataishi miaka mingi...(kama anao) ila anaweza kua hana pia sema uoga mkuu sio kazi rahisi kusubiri majibu .....tumbo la kuhara linakuja ghafla si mchezo
Binafsi nimepima Mara 6 , sipimi tenaaa hata niambiwe kuna nini sipimi ng'o nimepona huko nyuma Mara paaap time hiyo naenda kuambiwa mama unao akuuuu

Nenda nae taratibu kupima hawaambiani tu kama wanavyoambiana sherehe inabidi ajiandae kisaikolojia kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa

Nashukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kizuri kama ukweli

Mkalishe chini mwambie ni kwa faida yenu kwa faida yake pia ni muhim kupima na kujijua status za afya zenu zinawasaidia kuzidi kua makini

Mueleweshe atakuelewa ni woga tu unamsumbua au kuna sehem aliingia na mtu aliekua tayar ameupata

Akikataa bas akua utakachoona ni sahihi kwako.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
niliwahi kutana na mmoja... game kutoa hataki eti anaogopa magonjwa..
cha ajabu na kupima akawa hataki pia..

Ila tetesi za mtaa zikasemekana amewaka...

Baada ya kumsisitiza kupima ili nile tunda, ndo akapotea moja kwa moja na hata hilo suala alikuwa anakwepa kuliongelea..

Kwahiyo mzee kuwa makini, wengine ni wagonjwa tayari.. hata ufanyaje hawez kubali kupima!!
 
Back
Top Bottom